I oppose paying DOWANS S.A; its not just illegal...

what do you mean "link"? talking about freezing accounts who would dare to do that..?

We can trace the money train if Dowans was paid through CRDB and Someone was taking that cash on behalf of anyone then there is a connection; or anyone who is even slightly connected to dowans can be accused of Kuhujumu Uchumi...., so we need to hit these people with all our strength and let it be known that they are milking our country, let all wananchi know about it then maybe we can open a case against these people... and liquidate their assets.

Am just suggesting a different angle of attack.... Taking a football example, if flair does not work we can opt for counter attack, or route one

Not paying alone, without fixing hao wezi is like putting water in a leaking bucket....., soon the bucket will be empty again; these people will carry on stealing, so we need to fix them
 
VoR.. do you remember who paid for the generators to be brought in and how they were paid?
 
how, you stand to be counted where? Where the heck are you, Waterloo, Iowa?

where I am.. au ili nipinge lazima niwe wapi unakotaka wewe ili upigangaji wangu uwe sahihi? Kwani wewe uko uliko unapinga au unaunga mkono au ndio kundi la wale ambao hawataki kuchagua upande kwa sababu wataonekana wanapendelea upande mmoja?
 
DOWANS ni kampuni ya kitapeli...ni wezi! Hata kama mkataba ulisainiwa ila kwa kua watu feki hatupaswi kuheshimu mkataba,haiwezekani tuendelee kubebeshwa mzigo mzito bado ilihali hawa matapeli wakiendelea kujaza vichwa vya habari....hii ndiyo Tanzania huru?
 

Attachments

  • 8E9U8225kikwete fariji chini.jpg
    8E9U8225kikwete fariji chini.jpg
    44.7 KB · Views: 40
Hivi kweli kabisa hawa watu waliopita kubembeleza kura ndio wanataka kutawala namna hii? Ni kitu gani kitawazuia huko mbeleni au itabidi waweke mfuko maalum wa kulipa faini za mikataba mibovu?
 
I call upon the MP regardless of their political ideology to stand for national interest. This is not about Sitta or Mwakyembe, it is about us all. Chadema as an official opposition camp we put onus on to you. Chadema, iron out your differences which has caused a big rift and lead the nation toward justice and equality.
Wananchi we must say enough is enough, we can't pay tax to benefit a group of mafias who have turned our country ''Shamba la bibi'.If we give a leeway to Mafias as it has been the case, then we should realize that we have surrendered our sovereignity.
The history of the world had it that, no authority which has ever defeated people's power.
 
Haya ndiyo ya kufanyia MAANDAMANO. Sio ya uchaguzi wa Meya wa Arusha! Tumeua watu wetu bila sababu ya maana kwao.
 
Kimsingi adui tuliyedhani tumemshinda inaelekea anambinu nyingi kiasi kwamba kama hatutakuwa makini basi tumekwisha, inabidi tujiangalie sana katika jambo hili. Jamaa ni wajanja na ni weruvu kutushinda, hivyo tuwe makini tusiwape mwanya wakatumaliza. Siasa iwekwe pembeni, sheria na taratibu zichukuwe nafasi!
 
Hivi kuna kauli yeyote rais ameitoa kuhusu kulipa Dowans? Ukiacha ile ya kurugenzi ya habari ikulu kujibi tuhuma za Dr. Slaa kwamba rais naye ni mmoja wa wamiliki wa Dowans, sijasikia chocho kingine kutoka ikulu juu ya Dowans! Naomba kufahamishwa kama lilitoka tamko. Hivi tutaendelea mpaka lini na upuuzi huu ambao unatufanya kuwa maskini kila siku?

Tunahitaji kuchukua hatua...
 
If Come up with a good Link between DOWANS and any of MAFISADI wa hapa nchini then even if DOWANS is paid, we can recover our money through taking all of wahusikas property and freezing their accounts.... apart from that its just kelele za chura...

usibeze sauti ya wanyonge maana ndio wengi.

Kuilipa DOWANS ni faida kwetu ama hasara? Linki unayoitaka ipo wazi, una macho huoni. MAFISADI wetu wa hapa nchini ndio wameiingiza nchi kwenye mkataba na DOWANS.

Unaweza kua umeridhika sana na utendaji kazi wa MAFISADI mpaka hapa tulipofikia, lakini wengi tunaumia kuona walifanya na wamekua wakifanya kazi mbovu na sasa inabidi tulipie gharama za kufidia.
 
I agree.. ila nadhani wanaweza kufanya maandamano "baada" ya Dowans kulipwa!

JK anasikia yanayosemwa juu ya malipo haya. CCM nao wameamka juu ya hili. Niliwaona jana UVCCM-MARA kwenye ITV wakiongea kwa hisia kali juu ya malipo haya. Labda kama JK ameaamua CCM imfie mikononi. Alikoifikisha sasa kunawakera wengi.
 
Ubora wa Hospitali si uzuri wa jengo kama inavyoonekana,wodi ina Tiles nzuri kabisa lakini inakosa vitanda vya kutosha.Uwezo wa kununua vitanda vya kutosha hatuna lakini pesa za kulipa Dowans zipo tena ni lazima tuzilipe kwani tusipolipa Taifa litaingia kwenye hali ngumu..Ee MUNGU wafungue macho wanaong'ang'ania hili,wape moyo wa huruma wa kutuhurumia kundi kubwa la Watanzania kuliko hawa wachache wanaomiliki kampuni hii tata.Waguse hata hawa wanaojiita ni wamiliki wa hii kampuni wasikie kilio chetu na kuwa na moyo wa huruma kwetu bila kujali eti hasara watakayoipata kama wanavyodai..Amen

Regia,

You are one of a few fortunate Tanzanians who could champion what MM is suggesting, pls mobilize your fellow MPs and start the riot, we will be behind you and we will suffer with you.

Do not complain like the lot of us, do the it. ANZISHA HARAKATI ZA KUPINGA KWA NGUVU ZOTE WIZI HUU!!!!!!!!!!!!
 
JK anasikia yanayosemwa juu ya malipo haya. CCM nao wameamka juu ya hili. Niliwaona jana UVCCM-MARA kwenye ITV wakiongea kwa hisia kali juu ya malipo haya. Labda kama JK ameaamua CCM imfie mikononi. Alikoifikisha sasa kunawakera wengi.

Wildcard, don't be fooled by it.. JK akizungumza tu na kusema tuwalipe hakuna mwana CCM atakayeleta fyoko.. si umeona wote walivyojipanga mstari baada ya yeye kuimbisha "katiba mpya".. hadi wengine wakatufanya sisi mazuzu..
 
2.jpg



I believe the payment to Dowans will be one of the most audacious and contemptuous action by the government against its people. I for one opposes these payments not just because they are illegal but because they are inherently immoral. A nation such as ours coming out of so many financial scandals of the past few years we can not and must not reward corruption.

If CCM and its government decide (as it seems they would) to pay Dowans they will do so because they can not because they can not fight it. What our government has decided to do is surrender to the forces of corruption. They payments would embolden corrupt elements in Tanzania.

I for one denounce everyone and every person who in his clear mind taking into consideration all the facts of the Dowans deal would support paying this company billions of Tanzanian shillings while our people are still struggling to improve the quality of the mortal existence. I reject totally and absolutely any attempt to justify this corrupt deal solely based in the legality of the issue without considering the morality of such payments.

I call upon Chadema, it leaders and members and everyone of goodwill to take a stand against these payments. Let us draw a line once again between those who support this scheme of corruption and those who reject it. Let us be willing to take a stand and be ready to pay the price for that stand. For evil can not be rewarded nor excused.

I dedicate myself once again to oppose these elements for as long as I know how and as long as Providence allows me. But, I will not excuse, defend, explain or in any way or shape try to "understand" why we have to pay corrupt deals. We made a mistake in bringing in Dowans, we should not make the second one - of rewarding it. For once we pay Dowans under this "legality" circumstances we should be prepared to pay more and more in other corrupt deals for the same people who brought us Loliondo, Meremeta, EPA, CIS, Tangold, Richmond, and Dowans are still in power and as long as they know that Tanzanians are soft-hearted and weak in opposing corruption they will do it again and again. We can not let that happen indefinitely.

Chadema as the leading Opposition party in the country should not wait until the payments are made for them to come strong for once the payments are made Dowans Tanzania Limited and Dowans Holding SA will go into insolvency or liquidation. After the companies go into insolvency of some sort any investigation later will be unnecessary and illusion of the first kind. I for one will oppose any investigation after Dowans are paid up as they are already lined up to! We can not play this game of 'hide and seek' with corrupt elements in the country for we (the people) will come out losing!

For its not corrupt people we are dealing with but a very orchestrated organized crime in Tanzania which has infiltrated even the very core of our government and civil society.

Lets stand UNITED IN OPPOSITION TO DOWANS PAYMENTS. The payments are illegal and indeed stronger than that they are immoral.

I stand to be counted.

M. M. Mwanakijiji (BGM).

Meanwhile.. Wakati huo huo...

Monday, 17 January 2011

Gedius Rwiza (Mwananchi)

BAADHI ya wanafunzi katika Shule ya Msingi Misewe iliyopo manispaa ya Ilala jijini Dar es Salaam, wamelazimika kufika shuleni na khanga au viroba kwa ajili ya kukalia, kutokana na uhaba wa madawati unaoikabili shule hiyo.

Uchunguzi wa gazeti hili umebaini kuwa wakati wanafunzi hao wakikaa kwenye viroba na khanga hizo, wengine wamelazimika kufuatilia masomo wakiwa wamechuchumaa au kukaa kwenye vumbi.
Mmoja wa wazazi wa wanafunzi wa shule hiyo aliliambia gazeti hili jana kuwa kutokana na hali hiyo, uongozi wa shule umewataka wanafunzi wote wa kuanzia darasa la kwanza hadi la tano, kufika shuleni na viroba au khanga kwa ajili ya kukalia.

Mzazi huyo ambaye hakutaka kutajwa gazetini alisema, anasikitishwa na kitendo cha walimu hao kuwalazimisha wanafunzi kwenda shuleni na khanga na kuwachapa wanaoshindwa kutekeleza agizo hilo. “Inasikitisha sana kuona wazazi tunaandamwa wakati kuna sera inaamuru kuwepo na ruzuku ya Sh 15,000 kwa kila mwanafunzi. Je fedha hizo zinafanya kazi gani,”alihoji mzazi mwingine.


Read Here: WANAFUNZI WAKALIA VIROBA DARASANI





Mimi nadhani its a question "doing things right, or doing the right thing". Lawyers say we have to pay. Thats probably doing things right. But is it the right thing to do?? Dowans/Richmond was wrong right from the start... so jamani...how can we legitimise that wrong? I remember Dr. Mwakyembe's historic presentation and the anger, disbelieve and dissapointment that followed au tumesahau?
 
I always can't define the really priority (ies) of CCM government.

The legitimacy crisis in our democracies in Africa and Tanzania specifically shows the need for total reform of public management and governance. The opposition in Tanzania has to take that chance ASAP. As through CCM it has been vividly manifested that (1)The citizen: is still lost, not yet found (think of outcries of the citizens in this matter - but Kikwete and his co-pilot members have turned down their ears indicating there's no lesson so far that they have learn't from the just ended election) but (2). Reinventing politics: is a long way to go.......
 
si umeona wote walivyojipanga mstari baada ya yeye kuimbisha "katiba mpya".. hadi wengine wakatufanya sisi mazuzu..

Hahaha ahahah ahahah! hii imenichekesha sana...
 
My worry is tumegawanyika katika hili.Sheria imetufunga macho.Wanasheria mahiri waote wanasema ni kisheria lazima fedha hizi zilipwe.Wanasiasa nao tumegawanyika,wapo wanaokubali wapo wanaopinga.Huu umoja sasa utatoka wapi?Viongozi walioshika mpini wamekaa kimya.Umaoja utatoka wapi once again?Lipo kundi lisiloelewa chochote,huu umaoja utatoka wapi?Naogopa,huenda tukaishia kulalama tu lakini hatua za vitendo hatuzioni?

Kwenye hili Regia,kila mwanasheria atasema kisheria inapaswa kuwa hivyo.Nina imani kubwa kwamba wananchi wengi wanaumizwa sana na hili kulinganisha na wanasheria na wanasiasa 200+,nashauri tusitegemee majibu bungeni wala kwa wanasheria,wananchi wahamasishwe zaidi na nguvu ya umma itumike,there is no other options,the judiciary is corrupt and weak,the same applies to most parliamentarians and the Executive is the worst......Watanzania kwa umoja wetu tuseme hapana,najua inawezekana kabisa....Mungu aliyeweka uozo huu kwenye fahamu zetu yuko upande wetu!!!:amen:
 
Back
Top Bottom