i need to know this...

Shamba/kiwanja? Umeshayaona hayo mashamba kimara mwisho?
Amesema Kimara mwisho au kwa mara misho?
Nadhani anataka kujua kwa mara ya mwisho
alie nunua alinunua bei gani? ndio nilivomsoma :confused2:
 
Amesema Kimara mwisho au kwa mara misho?
Nadhani anataka kujua kwa mara ya mwisho
alie nunua alinunua bei gani? ndio nilivomsoma :confused2:
mi nimeona kama amemaanisha location. Nway, akirudi atatuambia amemaanisha nini. Goodmorning!
 
plz babu usinikasirikie, si unajua wewe ndio umeshika kile kimzizi cha mafanikio yangu!! Shkamoo babu (huku nimepiga goti)
Ewaaaa.......... Marhabaa. Ahsante kwa kunipatia apetaiti. Usisahau makubaliano yetu.
 
nna hamu chiku moja nikuone, ntakupa kapakti ka ugoro ka ofa chiku hio
Karibu sana kaunta ya juu. Ukiona Guinness ujue niko karibu. Vipi mkakati wako wa kumnasa CUTE ulifanikiwa?

attachment.php
 
Last edited by a moderator:
Ekari moja kimara mwisho?! Wachaga walivyo na kiburi cha ardhi, hata ukiikuta lazma atake milioni 300!
 
Ekari moja kimara mwisho?! Wachaga walivyo na kiburi cha ardhi, hata ukiikuta lazma atake milioni 300!
Wachaga wanakaa Kimara au Moshi? Hepi besdei King'asti. Umeninyima pilau, sichezi tena na wewe....
 
Last edited by a moderator:
Thamani ya shamba inategemea na eneo lililopo na borax wa hilo shamba labda ungesema unataka wapi ungepata msaada wa haraka. Kuna mashamba yanatolewa karibu ya bure ni kwa ada ya serikali za kijiji tu, kuna mashamba yanauzwa kuanzia shillingi 10,000 kwa eka na kuna yanayofika mpaka milloni 50 kwa eka.
 
Wachaga wanakaa Kimara au Moshi? Hepi besdei King'asti. Umeninyima pilau, sichezi tena na wewe....

Wachaga woote wanakaa kimara, sie wamasai tunakaa kitunda na wakurya wanatufundisha kula mayai.
jamaniii, sijakunyima. Mbona nimekuwekea kiporo chako. Hata usipocheza na mimi, mie ntacheza na wewe tu! Sambi sako menyewe:flypig:
 
Uktaka utamu wa ardhi nzur njoo huku MERU.ekari moja more than 1bl.then uweke roho yako rehan huku ukimalizia nyingine.chezea ardhi wewe!!Allah
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom