I need Somebody (A Lady) this valentine

Episode

New Member
Feb 12, 2012
4
1
Happy Valentines wadau..
Seriously i need a lady to give me company ths valentine..
kama uko interested, plz PM me!.
 
Nasubiri nione kama nawe watakushambulia kama walivyofanya kwa jane 000 pale alipotangaza kutafuta bwana!

Sijui nawe utaitwa malaya, au watakupa shavu kuwa ni rijali who dare to express his feelings!

By the way mimi nakurespect n l hope utampata!
 
nenda katafute uzi wa jana wa husninyo ukasome utakusaidia kwa hali uliyonayo..
 
Nasubiri nione kama nawe watakushambulia kama walivyofanya kwa jane 000 pale alipotangaza kutafuta bwana!

Sijui nawe utaitwa malaya, au watakupa shavu kuwa ni rijali who dare to express his feelings!

By the way mimi nakurespect n l hope utampata!

thanks Kaunga, Appreciated!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom