Binti Maringo
JF-Expert Member
- Jul 4, 2007
- 2,804
- 88
Oi!....Nahitaji msaada kama kuna mtu anajua ku-design website....uNLess otherwsie ningekuwa najua ninegtengeneza mwenyewe...pleasee
kama yupo please naona uniandikie basi PM............ ili nikupe maelezo kamili nini nataka kwenye hiyo website na color and all the stuff.....si unajua uchumi mbaya sasa hivi so nahitaji kama kuna mtu wa free ambaye anaweza kunisaidia...this is very imprtant if not crucial.....
xoxo