I need GF

Kazidiwa tu leo si weekend inaanza, hataki vigezo yeye ilimradi anapata kitu roho inapenda.
 
nadi sera zako ndo utapata wapiga kura wa kutosha. sasa kimyakimya hivyo mbona haivutii!! biashara matangazo,
 
just nenda kwa facebook wapo wa kumwaga hata siku haitapita utakuwa umempata
 

Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom