afrodenzi
Platinum Member
- Nov 1, 2010
- 18,145
- 9,207
ninajivunia kwetu,,,na nisinge penda nikupeleke date ya kwanza sijui wapi huko ma lami hadi sebuleni...... so come here and walk with me in the streets of sinza kwa bi nyau!
hahahahahahah lol....
sasa bi nyau ndo balozi au ndo nani tena.....???/
maana hili jina naona unaliheshimuu sana
hahahahahahah lol
au kila ukipata rafiki lazima bi Nyau amwone???