I need company....to heal my wound

ni muhimu kutokuwa serious sana kwenye mapenz kabla yakumchunguza mtu mzuri...pia usiwe sana concetrated kwenye haya mambo ukitaka usiumie,jaribu kujikeep busy,kama mimi hapa hichi My Perfect Internet
ndicho kinachonikeep busy ayo mambo now hayanisumbui tena jaribu kujoin ujionee muenekano mpya
 
Hi wana mmu..
kama heading isemavyo..nna wakat mgumu mpnz nliyempenda na kumwamin ameniacha..2medumu kwa miaka2,kaniacha bla kuniambia sabab sasa ni mwez wa2 but nashndwa kumtoa akilin,nitaj company especial ya mkaka alie mcheshi,mkalimu,na atakaeweza kunifanya nisahau maumivu kwan nahc kuzidiwa kila cku zinavyozd kwnda
NB..wat i nid is jst a frnd,am 22 of age..

sasa na wewe ukishapona hicho kidonda kinakuwaje??unatambwaga huyo rafiki uliyempata a??
Halafu miaka 22 ni midogo sana nakuhakikishhia utatendwa mara 8 kuanzia sasa kisha ndo utampata wa ukweli
jikaze wewe mtoto wa kiume unalialia tu
 
Back
Top Bottom