I need company....to heal my wound

nisaidie basi kumsomesha huyu binti, nimempenda gafla bin vuuu


ngoja nimwite King'asti anikuwadie.

sema tu unahitaji mpenzi wa kukuliwaza ...pole angalia asijekukuongezea maumivu miezi miwili ni michache bado unatakiwa kutuliza akili kwanza
 
Last edited by a moderator:
Angalia huyo ame-break ur heart, hapa utaishia na heart amputation. Sijui utasurvibe aje?
kila la kheri
 
pole sn mpendwa,yaan hawa watu sijui wakoje jamani.Nakushauri utulie kwanza kabla hujafikiria kuingia ktk mahusiano tena,hali kama hiyo iliwahi kunitokea nilijitahid sn kuizoea na hatimae nilifanikiwa so i am now enjoying the status of being single.
 
pole sn mpendwa,yaan hawa watu sijui wakoje jamani.Nakushauri utulie kwanza kabla hujafikiria kuingia ktk mahusiano tena,hali kama hiyo iliwahi kunitokea nilijitahid sn kuizoea na hatimae nilifanikiwa so i am now enjoying the status of being single.

Asante..ntafuata ushaur wako..as nlivyosema wat i nid is frnd cpo tayar ku4m anthr relatnshp so soon
 
Mimi nikiwa na mawazo nina rafiki ambaye hawezi niangusha kama marafiki wengine hata siku moja. Marafiki wengi ni lazima tu atakuumiza japo siku moja na hapo inahitaji hadi mapatano. Lakini rafiki huyu anifarijiye ni wa pekee sana. Je unataka kumfahamu. Anaitwa Yesu Kristo mnazareti na mawasiliano yangu naye ni kupitia maombi. Labda nawe ujaribu kwa huyu rafiki asiyejua kumwangusha kwa namna yoyote ile rafiki yake.

Like. . .like. . .
 
Hi wana mmu..
kama heading isemavyo..nna wakat mgumu mpnz nliyempenda na kumwamin ameniacha..2medumu kwa miaka2,kaniacha bla kuniambia sabab sasa ni mwez wa2 but nashndwa kumtoa akilin,nitaj company especial ya mkaka alie mcheshi,mkalimu,na atakaeweza kunifanya nisahau maumivu kwan nahc kuzidiwa kila cku zinavyozd kwnda
NB..wat i nid is jst a frnd,am 22 of age..

Call me the wound healer. . .pm. . .
 
miaka 22? Una mengi ya kujifunza na kumwagwa na kumwaga....
Compose yourself......
Jitulize uwikurupukie kampani ukaja juta
 
Nasubiria Pm yako beibe, uliza mtu yoyote hapa mtaani mimi ni comedian..
 
Tulia nikuuze best.
Mtoa mada, huyu Kongosho ana mahela, anaendesha mark 2 rula (gx90), na kaagiza boonge la mgari linaitwa nissan march aka baby walker. Kapangisha room 2 kwa mtogole zenye umeme japo sio self. Yaani wewe utakula mishkaki ya mbwa (ile ya sh 100) hadi uvimbiwe. Changamkia tenda mama.
nisaidie basi kumsomesha huyu binti, nimempenda gafla bin vuuu


ngoja nimwite King'asti anikuwadie.
 
Last edited by a moderator:
22 aged ??...khaa Utanusumbua Nkuletee Burger ya Morocco au Pizza ya Spars ...

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom