ditto!kuna kitu sijakielewa hapa......
kuna kitu sijakielewa hapa......
Hujaelewa nini mama? au Mbuzi Mzee kaweka PICHA YAKO bila ridhaa yako?
Kama hili mi nalikoboa tu! Wala sijali sura!
ndio hiyo sasa.......nia na dhumuni hasa ni nini......?
Mbuzi Mzee you are an excellent match maker! Lol!Jamaniii eeeeh, Bwana kapatika huyu hapa