I need a girl, ila awe mrembo haswa....kama unajiamini talk to me...

EJM_

JF-Expert Member
Jul 8, 2011
3,836
2,090
Nataka awe yule ambaye sitaona aibu kumtambulisha, atakayenifanya niwe nawahi kurudi home ili nimwone.....na mengine mengi
 
ha ha ha.... naona tu hapa niongeze idadi ya post hata kama ni moja.... Umenifurahisha!!
 
Saint picha yangu au ya huyo ninayemtaka?
 
Mh hiyo kila la kheri yako kama imeficha kitu hivi! @Likwanda
 
Hahahaa sasa huo wa ndani tutauonaje jamani, si lazima tuanze na ule tunaouona @Ashadii
 
Desidii, mbona waguna na kila la kheri yenye utata!
 
Girls mbona hamjiamini jamani hahahaa.... ngoja umeme urudi ntaupload picha maana mmeshkia bango sana
 
Haya nambieni hii picha niliyoweka iko poa eeh? Si nimetoka chicha Hahahahahaaa!
 
Nataka awe yule ambaye sitaona aibu kumtambulisha, atakayenifanya niwe nawahi kurudi home ili nimwone.....na mengine mengi
unataka msichana ambae atakufanya usione aibu kumtambulisha, na wewe? Una uhakika kwamba atajisikia raha kukutambulisha?
 
unataka msichana ambae atakufanya usione aibu kumtambulisha, na wewe? Una uhakika kwamba atajisikia raha kukutambulisha?

Hiyo ni kesi nyingine hivi ni vigezo vya kwangu mimi na anayekuja ni lazima akubaliane na vigezo vyangu sio vyake tena "Terms and condition Apply"
 
Hapana Bebii kama ukiugua uko kwangu thats my responsibility ucjali
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom