I need a friend

Dinam

Senior Member
Jan 19, 2011
116
28
Ninataka rafiki wa kiume umri kati 40 na kuendelea awe mfanyakazi na mkristo
 
mmhh
bibie mbona umewalegezea hivyo??
wenyewe wakitakaga msichana/mwanamke..
mmmhh ni balaa humu ndani wataandika mpaka na rangi ya nguooo..
wakazie basi mtego kidogo ....
mmmhhh usiwaonee huruma..
 
mmhh
bibie mbona umewalegezea hivyo??
Wenyewe wakitakaga msichana/mwanamke..
Mmmhh ni balaa humu ndani wataandika mpaka na rangi ya nguooo..
Wakazie basi mtego kidogo ....
Mmmhhh usiwaonee huruma..

watu huuma panapouMika......
 
mimi nina 40 na isiwe zaidi ya 44

TAFUTA KIJANA ...ila ukiendelea na huo msimamo nina uhakika hutapata mtu wote washajichokea na mihangaiko ...au badae ndio unaweza kurudi na stori za vibamia kama wengine humu JF
 
ni kweli jf kila mtu ana mawazo yake na sihitaji mwenye mke coz mimi si mke wa mtu
 
kumbukeni kuna rafiki na mpenzi mimi nahitaji mpenzi naona mmeshaanza kunishambulia mawazo yamekwenda mbaliiiiiiiii
 
mmhhh
Ivunga umeniamkia tena leo ae??

samahani bibie habari za mchana:smile-big::smile-big: mwawzo yalikuwa mbali sana ngoja nikusuuze roho kabisa kwanza
64787130_rose.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom