i need a friend

niku pm??
64787130_rose.jpg

eeeeh! ua lako juriiii!
 
si bure kuna mtu anatafutwa humu, JF nzuri sana maana hatujuani,
na muda si mrefu tutasikia mtu anaomba ushauri wa kurudiana na mkewe kisa cha ugomvi eti alimtokea JF akaomba kazi bila kujua ni mkewe,
 
Una taka umfanyaje huyo binti?

i want to know nu pipo! awe rafiki "sm1 i can lay on her shoulder" nkiwa na uzuni, "sharing joy" nkiwa na furaha, utani " coz napenda" habari za hapa na pale! jaman mbona mnaniswalika ivo? napata marafiki sipati!!!!
 
Unataka marafiki au rafiki?
kama unataka rafiki usiulize maswali makavu kama afande marwa! sawa!
 
si bure kuna mtu anatafutwa humu, JF nzuri sana maana hatujuani,
na muda si mrefu tutasikia mtu anaomba ushauri wa kurudiana na mkewe kisa cha ugomvi eti alimtokea JF akaomba kazi bila kujua ni mkewe,

hahaha!
 
Sina pingamizi mwaya........lakini chukua reference kutoka kwa Fidel na Next Level kwanza, hebu waPM wakikubali mi nitakuwa bega lako la kulilia.

Napita njia jamani,
Weekend njema.
 
Hili lijanamme linataka urahisi wa kupata totoz,,,,mpaka linasema eti mwanafunzi, shule zipo za aina nyingi .
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom