I & my little one …Delightful Image Of The Day

Halo halooo! Full kupendeza.....mi nimependa msuko tu, naona style ya 70s imerudi kwa kasi yote
 
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p>
ituen-basi-collection.jpg
</o:p>

Tunawatakia siku njema mbarikiwe na bwana nguo hizo zinapatikana kibanda changu cha mama Ntilie magomeni migox2

Wajameni, inawezekana mimi ndio nimepotea?!. FL1 kaleta hii kutangaza biashara ya nguo zinazopatikana dukani kwake!, biashara ni nguo au hizo look alike?!.
Ila pia nakubali they look great save tuu kwa usafiri wa mama!.
Taja jina la duka na mtaa lilipo, watu waje kuzinunua na pia kuulizia bei!.
 
wewe umenielewa Pasco uwe na siku njema
 
Pasco nakushukuru sana kwa ufafanuzi maana wengine mawazo yetu yalipitiwa na pepo wa ..........
 
<?xml:namespace prefix = o ns = "urn:schemas-microsoft-com:eek:ffice:eek:ffice" /><o:p>
ituen-basi-collection.jpg
</o:p>

Tunawatakia siku njema mbarikiwe na bwana nguo hizo zinapatikana kibanda changu cha mama Ntilie magomeni migox2

FLady!

So amazing ... hongera sana kwa kuwa na mtoto mzuri.... nimeangalia na kurudia tena, mnafanana mno... nimekubali sio, camera trick you r so blaced ..mpende mtoto mpe malezi mazuri!!

NA

Kuhusu kuja dukani for shoping ... si ungemweka hapo na mzazi mwenzio pia!? Itafanya mambo veeeery balance ... !!
 
Back
Top Bottom