I Miss You Wiselady..... Uko wapi nikufuate?

aaah kumbe hapo karbu tu mlimani, ngoja tutafutane nyuma ya mtungi (PM) tutembeleane....! nakuletea zawadi ya kiyoyozi ya OKTEC coz joto laja.
 
niko salama wiseboy,sasa pacha wangu si wiseman jamani wewe unakuwa my son...mzima lkn?



marhaba my charmingal,kwa hakika mimi ni dada yenu kabisa,karibu mlimani...:flypig:

asante swit dada, ntakaribia but sipajui hebu nielekeze!
 
Mpendwa kilio chako kimesikika nami nimeshuka toka mlimani kukusabahi kwa upendo ule ule,mahitaji yakuombea yamekuwa mengi na wanamaombi kama Zion Daughter na Kaizer the Pope wamekuwa wavivu...otherwise naamini unakumbuka ahadi.Barikiwa:A S 465:

unapotea sana mhandisi.......habari za project....?.....naona barabara zinazidi kung'aa........
 
Back
Top Bottom