I miss you Paka Jimmy! Where are you?

tete'a'tete

JF-Expert Member
Feb 10, 2010
472
62
Wana Jf nimemis sana PJ sijamuona humu kwenye uwanja wetu mida sasa yeyote anayejua taarifa zake aniwakilishie...najaribu kumtafuta kwa simu hapatikani..ni jambo jema wana fj kujualiana hali...miss you so much PJ...asanten nawakilisha...
 
Last wk end alinipigia simu akiwa na Double Diff tukaongea simu ikakatika hewani gafla ila hope is ok.
 
Nimempigia simu sasa hivi amepokea ila alikuwa haongei nilisikia aaaahhh aaaaahh aaaahhh mhaaa mhaaaaaaa Wow wow wow ummm uummm ummm yeaah yeah yeeeah sijui amekumbwa na maswaibu gani ni kama amekabwa!
 
Mpwa acha utani! mi nipo serious jamani! I missed his voice.....
 
Nimempigia simu sasa hivi amepokea ila alikuwa haongei nilisikia aaaahhh aaaaahh aaaahhh mhaaa mhaaaaaaa Wow wow wow ummm uummm ummm yeaah yeah yeeeah sijui amekumbwa na maswaibu gani ni kama amekabwa!
-32=8748t =x239498=9-475_)(*&^%$%^&*)(*&^%$%^ = MASA UNA MATATIZO MAKUBWA MAZEE

PJ YUKO LIKIZO AISEE, ANAFAIDI VYA NYUMBANI!!

LAKINI NIMEMMAINDI MAANA ALIKUJA DAR AKANITOSA
 
nimempigia simu sasa hivi amepokea ila alikuwa haongei nilisikia aaaahhh aaaaahh aaaahhh mhaaa mhaaaaaaa wow wow wow ummm uummm ummm yeaah yeah yeeeah sijui amekumbwa na maswaibu gani ni kama amekabwa!
1.hiyo ni dalili ya homa kali.
2.dalili ya mechi kali ya xxxx inayoendelea.na kwa vile mshambuliaji karibu afunge bao............
3.labda simu imeibiwa,kibaka baada ya kuiwasha tu kakamatwa na hivyo anapata kibano.
 
Chase the makarrraaaappaaaaaaaaaaaa.... Friday hureeeeyyyyy

gulp... Gulp... Hic! Hic!!!

Makarrapa!!
 
Pearl hayupo
Cheusimangara kapotea ...
Klorokwin kapotea
Chrispin sijui yupo
hata haieleweki vile

.....
 
PakaJimmy............uko wapi kaka mkubwa......busara zako ni za muhimu hapa jamvini..........show up man.......unaona nimekasirika sasa:angry:
 
LAKINI NIMEMMAINDI MAANA ALIKUJA DAR AKANITOSA
De Novo kwakweli PJ atakuwa alibanwa tu na mikazi, the way i know this man hajui kuwatosa washkaji wake hasa kwenye suala la salam. Muwie radhi man
 
De Novo kwakweli PJ atakuwa alibanwa tu na mikazi, the way i know this man hajui kuwatosa washkaji wake hasa kwenye suala la salam. Muwie radhi man

thanks mkuu, naenda arusha sijui kaniachia nani huko niwatafute kesho
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom