Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 92,216
- 113,520
Jamani nauliza tu kutokana na observation yangu na lived experience yangu. Hivi kwa nini mtu anapokwambia kuwa ameku-miss na wewe almost automatically utamwambia 'I miss you too'....Je ina maana kwa vile wewe hukuanza kumwambia kuwa umem-miss basi 'I miss you too' yako si ya kiaminifu, kwamba haijatoka moyoni kwa hiyo hukuimaanisha. Umesema hivyo kwa vile tu yeye kasema kwanza?