I miss you dada faiza foxy

Jamani FF anamabaya matupu hana zuri hata moja? mbona zuri hata moja halitajwi?
 
For me, Faiza Fox is a great lady here in JF.....anasimamia anachokiamini; sio mnafiki!! Yule dada/probably mama, ni darasa kama mtu unaamua kuwa positive!! Kuwa positive, kwa maana ya kuzipotezea post zake zisizokuvutia naatizo kuzifanyia kazi post zisizokukwaza!! Tatizo(In fact, uzuri) la FF ni kwamba sio mnafiki.....kama mtu hampendi, atatamka wazi wazi kwenye post zake zote, mwanzo hadi mwisho hata kama wote mtatofautiana nae, kamwe hageuki nyuma kama ulivyo msimamo wake kwa nyerere!! Linapokuja suala la kuitetea dini yake anayoiamini, nako ni hivyo hivyo!!! Honestly, sijawahi ona member hapa JF ambae anazungumza mambo kwa kutoa reference kama FF....really, i miss her!
 
hujamfatilia tu mtu poa ,ila anamisimamo yake isiyokubalika na wengi ambayo sio mbaya .anachangamsha sana mijadala .ningekuwa na hela ningemtongoza .i miss her too mods mtoleeni ban kiswahili kinyooke

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom