I miss you dada faiza foxy

Kadamfu

Senior Member
Nov 18, 2011
117
31
pole kwa ban dada ni muda mrefu sana sijakuona wapenda haki wenzako TUNAENDELEA KUKUOMBEA KWA WENYEWE ILI UFUTIWE ADHABU YAKO.MY TAKE WASIFIE ILI UENDANE NAO .EID MUBARAK.
 
tatizo lenu kama ccm wakishindwa kukimbilia mahakamani na nyie mnakimbilia ban.UNFAIR
 
Faiza Foxy akafilie mbali kabisa. Na kama ban yake ni ya kipindi fulani naomba tena naomba sana sana sana aongezewe miaka mingine miwili ili Jukwaa la Siasa lipumue na kuvuta upepo mwanana usio na harufu mbaya ya udini wa FF.
 
Kuhusu dada Faizafoxy aka JF-BAN1, mbona mjomba wake zomba yupo anamwakilisha vizuri tu? Bahati mbaya ni kuwa protokali haiwaruhusu kuwepo humu wote wawili kwa wakati moja, lazima wapeane zamu.
 
Last edited by a moderator:
kumbe kala ban huyu mbibi safi sana alikuwa anapenda kuchongea wenzake sana mods ongezeni kifungo cha huyo binadamu..
 
Alikuwa mdini sana huyo bibi. Na mdomo usiokuwa na staha! Inawezekana alishafariki siku nyingi!? Who knows? Apotelee mbali!
 
Mtu unapigwaje ban? Mbona mm kila nkijitahidi sipewi hiyo ban? I'm spending too much time here, i'm in need of one.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom