i miss you Afrodenzi

Duduwasha

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
5,703
3,653
Hey afrodenzi upo wapi dear nimekumiss sana yaani kupita maelezo sijakutia machoni kitambo sana nini kimekusibu... hebu niambie jamani pengine naweza saidia kwa uwezo wa kamba yangu pls hebu jitokeze tena najua wengi Pia wamekumiss..... na tunakupenda kwa mengi sana michango yako ucheshi wako pia na ukarimu wako .....

We all love you....
Ila me ni Zaidi

http://www.youtube.com/watch?v=-OiV_5kEt6A
 
Pamoja sana Mkuu Kongosho.... wajua sometime humu tunakuwa kama watu wa Familia Moja mtu akikosekama zaidi ya majuma mawili utajua tu...
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom