I Miss Sex!!

Nategemea kila mkoa una sehemu maalum lakini kwa dar nenda ambiance ama sivyo nenda Jeli ..ukiwa dom unaweza kwenda chako ni chako ama Mwanza nenda villa park...
 
....!!!!!..zile hormone ni just protein so do not worry usipozitumia they will be converted into other useable forms in the body..
 
Kila siku huwa nasema humu JF. Huyu jamaa anastahili PERMANENT BAN. Mambo yake ni Sex tupu, sijui ndio amevunja ungo jana tu! Ananiboa mie!
 
Hata mimi kashaniboa halafu kuna wajinga wenzake wanamsupport kama anafeel sex amwambie dada yake,na sitaki tena mtu amshauri mi ndo nimefunga mjadala.
 
Kapige nyeto mwana,tabu yote ya nn,wakina Lizzy wamesema hawataki.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom