Jamani nimemiss sana Rev, hakuna msamaha wa MODs?
Mkuu,
Huyu Rev yupo.
Amefanya camouflage tu. Yuko makini zaidi, amepunguza pia kurusha scud misilles.
Huwa anachungulia anacheka tu na anaposhindwa kujizuia basi hugonga kama nyoka na kupotea.
Jamani nimemiss sana Rev, hakuna msamaha wa MODs?