I miss Rev Masanillo

Hivi kwani, bado hajatoka?
Dah, wafungueni bwana, na Maxshimba!!!
 
Nimemmiss pia Rev!!Wamfungulie haraka bhana aje awatie adabu hawa Uvccm waliovamia Jamvi.
 
Rev Masanilo mbona tuko nae hapa kila siku? walichoban ni lile jina tu, lakini sio fikra zake. nisichojuwa tu lile jina lake limepigwa ban ya muda gani? anaejuwa atujuze.
 
Back
Top Bottom