I love you!

Utaitamka mpaka mwanamke hajui ni lini ulikua serious na lini uliitamka tu kwasababu ya mazoea.

I love you kwa maoni yangu isitamkwe kila wakati, UTAMU UTAISHA!!!!!
 
I love u dad it means.....thanx for the cash..
I love u mom it means......thanx for everything...
I love u to ur gf it means.....lets have sex...
 
Ni kweli kuwa kuna wakati tukishazoeana haya maneno ya I love you tunayasahau na mkishaoana ndio kabisaaaa mimi leo hata sikumbuki ni lini mara ya mwisho mwenzangu kuniambia I love you wifey au hata kunisms kwa jina la dear achilia mbali kuniita kwa jina la sweetheart! pamoja na kwamba I ususally refer him to those names ah!!

Kwetu sie kina dada it matters a lot. HAta kama tukiwa tumechukia yaani ukitamkiwa tu badi ni kama boflu kwenye chai au siagi kwenye kikaango cha moto.................inayeyuka!
 
lakini jamani twende na ukweli kama ukisema i love u kwa mwenzio na ikawa una-maanisha hivo it is really good
 
Ahsante BAK kuwakumbusha hawa viumbe.... we need to hear it more often kama capsule 2*4. LOL.

problem is alot of african men dont like to show emotion and share feelings. kuna mtu namvizia kumpiga bonge la busu hadharani kama atakufa afe tumzike ahahhahahahah!!!!
We Shishi wewe si majuzi ulisema kuna njemba imekubinafsisha jumla,sasa haya ya malavi davi Samora Avenue yametoka wapi,au unataka umfanzie mai husband wako?
 
uko sawa kabisa mkuu mie mwenyewe napenda sana kusikia my sukari ananiambia " I love u" hata kama ni 24/24x7 x 364
hii ni kwa sababu mimi nafanya hivo:)
Tatizo wengine hatujapata mwenye sifa na maqualifications ya kuambiwa nam loveee kichizi 24/7x364,si unajua hapa mujini uzushi tu mwenye dhahabu anauza dhahabu feki na mlipaji analipia dola feki?
 
Love makes the world go around!
I wouldnt understand my woman if she fails to display her affection for me public!
 
hivi kwa nini inakuwaga ngumu kulitoa hili neno!!!?mamsap huwa analisema mara nyingi tunapokuwa tunakula chakula cha ndoa tu siku hizi!! yaani sitalisikia tena hadi tunapokutana tena! nadhani ikitokea tukapitiliza miezi mitatu litakuwa limeshafutika kabisa, mara nyingine huwa analitamka ninapokuwa safarini....nadhani hapa linakuwa kama warning zaidi kwa kipindi hiki...............
 
Tatizo wengine hatujapata mwenye sifa na maqualifications ya kuambiwa nam loveee kichizi 24/7x364,si unajua hapa mujini uzushi tu mwenye dhahabu anauza dhahabu feki na mlipaji analipia dola feki?

wewe ndo ile song ya Mwana FA unaoa lini bado niponipo kwanza ..bado nipo nipo sana :)
 
Muwe mnazisema basi hizo "I love you" mabinti wanakosa raha kama hawazisikii

Mkuu mke wako ukimpa "I love you" in a tender voice. Yaani anakuwa mad bana. Hata kama amekasirika lakini, ukimrudia taratibu halafu ukampa lile busu maridhawa na ka I love you, eheeee wacha tu. Just a three words, short sentence will finish all!!!
 
Kwanini badala ya kusema I love you sema NAKUPENDA? Hivi ni kweli watu wengi hupenda kusema I love you kuliko Nakupenda?
 
Muwe mnazisema basi hizo "I love you" mabinti wanakosa raha kama hawazisikii

Na mnapokosea mziseme hizo 'I am sorry'.

Wanamme sometimes mnakera! Mkiwa mnamfukuzia Demu 'I love you na I am sorry' zinakuwa nyiiingi unnecessarily. Mkishampata damn!, zinaishia sijui wapi Hivi ni kwa nini lakini? Mkoje nyie! Ah..................

Grrrrrmh!
 
Muwe mnazisema basi hizo "I love you" mabinti wanakosa raha kama hawazisikii
Babu, yaani mi wa kwangu hata nikiwa nimemboa, atanisema hapoo lakini mwisho ataniambia'but baby i lov u' nitakavyojisikia mbali na kuhakikisha sirudii kosa ni amani na furaha ya hali ya juu. hilo neno lina nguvu ya ajabu bwana sikwambie mtu.
 
Mkuu mke wako ukimpa "I love you" in a tender voice. Yaani anakuwa mad bana. Hata kama amekasirika lakini, ukimrudia taratibu halafu ukampa lile busu maridhawa na ka I love you, eheeee wacha tu. Just a three words, short sentence will finish all!!!

hapo umenena haswaaa
 
Pole shosty.

Huyu wangu huniambia 'I love you' only when he is drunk!

kwi kwi kwi kwi.......................


Ha ha ha ha LOL! Lizy....akishakuwa mbwii ndiyo anakuona unameremeta kama malaika ;)....We Mke wangu unajua mimi nakupenda sana wewe!?...ha ha ha ha....Do you know that!?....I love u!...kumbe ana lake jambo ;)...akiamka asubuhi anauchuna husikii tena I love you mpaka akamate masanga tena...LOL!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom