I love you...

yeah kamanda.......

I just sent her a letter (real letter) reminiscing those days when you use to received scented letters during evening parade

what a lovely mood you bring, patia jamaa double blue label kwa bili yangu!!
This is what I am talking about! nilijua it was a good idea to post this here and share my love with you (JF members) ila kwa replies napata hapa naona kama what I have spread is coming back. Kila nikisoma kuna mtu in love I feel more in love myself...
Thank you!
 
RussianR,haya mambo ya kusema siwezi kuishi bila wewe,mmmmmhhh iweje binadamu mwenzagu awe pumzi yangu?
 
Yes, alie andika inaonekana bado hawajaoana na ukisoma kwa ndani ni kama dada ndie kapenda, na anaota mwanaume atamchumbia na kumuoa.
Ila mimi namtumia mume wangu ajue tu kua nampenda kama vile nilivokua nampenda siku za kwanza (probably more in fact)
Na pia nawatakia wote wenye kupenda/kupendwa waburudike kwa shairi.

RR,
Hongera.Swali moja:
Umesema unamwandikia mumeo. Hauoni kama "umemkosea maana"?
Nikicheki maelezo yako hapo juu.....natatizika ikiwa nitamtumia mume wangu anaweza akasema
"Ujumbe huu ulikosea haukuwa wangu" lol.Kina dada/mama msiige kila kitu mtaambulia black eyes!
 
RussianR,haya mambo ya kusema siwezi kuishi bila wewe,mmmmmhhh iweje binadamu mwenzagu awe pumzi yangu?
MI sikusema, poetry ndio imesema Bishanga. But tafsiri yangu mimi ni kwamba bila yeye maisha yangu tangekua tofauti sana na I am happy I have him in my life than out of it. Bila yeye siwezi kuhishi maisha kama ninavo hishi leo... :)
 
RR,
Hongera.Swali moja:
Umesema unamwandikia mumeo. Hauoni kama "umemkosea maana"?
Nikicheki maelezo yako hapo juu.....natatizika ikiwa nitamtumia mume wangu anaweza akasema
"Ujumbe huu ulikosea haukuwa wangu" lol.Kina dada/mama msiige kila kitu mtaambulia black eyes!
Black rose dear, umepatia katika tafsiri. Ni kweli kwamba sio yote yalio katika poem hii ni sahihi kwangu ila kuna baadhi ya maneno yamebeba ujumbe wangu. Pia Mume wangu na mimi tupo karibu kiasi, which is why nilipoongea nae niliona ameelewa ni ujumbe gani zaidi nilitaka kupendekeza :)
 
Nimetumia google translate, nimecheka mwenyewe; google hajuhi kiswahili. Anyway inasaidia lakini.

Mimi niko katika upendo na wewe
Iliyowasilishwa na: KSac1980
Author: Kristen M SACCARDI
Kama mimi kuangalia katika siku zijazo mbali kama mimi kuona,
Mimi kuona chochote ila wewe kuwa na mimi.
Wewe ni katika yote ya ndoto yangu macho au kama mimi nina usingizi,
Upendo wangu si kwenda popote kwa sababu ni njia kwa kirefu.

Kuna kitu naweza kufanya ili kufanya ni kwenda mbali,
Mimi niko katika upendo na wewe James na upendo wangu ni hapa kukaa.
Hisia mimi, sijawahi waliona kabla,
Sitaki mtu yeyote mwingine na mimi tunajua kwa uhakika.

Kama mimi siwezi kuwa wewe mimi ni afadhali kufa peke yake,
Siku ya furaha ya maisha yangu ni pale i aliyewaita kwa simu.
Je, hakuna hata milele nijisikie njia mimi na wewe,
Mimi kuhisi upendo na wewe ni kitu mpya kabisa.

Nataka kurudi katika upepo wangu,
Si kama rafiki lakini kama mpenzi wangu.
Nataka kuwa mpenzi wako na rafiki yako,
Nataka kukua zamani na wewe Hadi mwisho.

Mimi ndoto katika siku zijazo itabidi simu na kusema mimi ni moja,
Kuwa aliamua kwamba sisi si kosa bado.
Mimi kuomba kwamba siku moja ndoto yangu kuja kweli,
Mimi Je Dream hii ya kila siku kwa sababu mimi niko katika upendo na wewe!
 
Sikuwa nimeiona hii thread inahusika sana RR asante kwa kweli...tena wakati kama huu wa Christmas ndo kabisa love is in the air.....

Damn!! I cant wait to get home for holidays to the man i love with all my heart..............:busu
 
strange thing about love.......
can we love without saying it???
can we say it without say it?
can we believe without hearing it?
can we mean it without saying it?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom