I love you!!

sasa baba wa DNA atakuweka busy vipi? lizzy kuwa makini bana, ujue unaonge na lawyer mstaafu klorokwini. ukichemsha unalala selo

Kumbe mstaafu!Ndo maana hunisomi!Yani tutakua busy kuchanganya DNA zetu tupate kaBABY!
 
yaani lizzy unanifukuza mbele ya sredi ya mapenzi? where is the love lizzy? eeh!
Geez Kloro...embu chagua moja!We ni mzee au mtoto?Unataka kupendwa au hutaki?The love is on holiday...will be back nxt year!
 
Lizzy Lizzy where is (Central Processing Unit) and (Mchungaji) uchonganishi tu
Hahahaha!Pumzisha uchonganishi kidogo mama maana Mchungaji kawekwa jela kwahiyo niko free kupeta na Sipiyu ambae kaenda shopping!!
 
Dah jumatatu hii nimekaa ki I love you I love you!!!
Natamani kumwambia mtu na nnatamani kuambiwa nakupenda...nakupenda...nakupenda!!

So popote pale ulipo Mr Prince Charming a.k.a Mr Right I LOOOOOVE YOUUUUUUU!!

kuambia/wa inaweza kuwa part ya furaha yako lkn mi naona ipo simpo sana, kwanini usitake kuonyesha/shwa upendo huo kwa vitendo kukamilisa hali yako ya ki I LOVE U I LOVE U
 
kuambia/wa inaweza kuwa part ya furaha yako lkn mi naona ipo simpo sana, kwanini usitake kuonyesha/shwa upendo huo kwa vitendo kukamilisa hali yako ya ki I LOVE U I LOVE U

Mmh ingekua bomba sana!
 
Back
Top Bottom