I love you!!

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,806
59,285
Dah jumatatu hii nimekaa ki I love you I love you!!!
Natamani kumwambia mtu na nnatamani kuambiwa nakupenda...nakupenda...nakupenda!!

So popote pale ulipo Mr Prince Charming a.k.a Mr Right I LOOOOOVE YOUUUUUUU!!
 
Kumbe wengine hatumo. Samahani, kwa kukosea njia.
 
Orait narudi kwa baba mchungaji kwa magoti!!:rain:

Ha ha ha ha mie sitaki bana C...... ataninyonga aka babu.

Mchungaji najua huwezi chomoka yeye ndo father house c..... ni infiii tu ha ha ha usinitaje (akiona hapa CPU nimekwisha)
 
LIZZY NAKUPENDA SANA,
hutaweza elewa ni jinsi gani ila kwa salamu hii naomba niufikishe upendo wangu kwako.
upendo usio na kipimo,upendo usio na mipaka,upendo usio na unafki,upendo toka ndani ya moyo.UPENDO WA AGAPE.
HAVE A BLESSED DAY!!
 
Hahahhaha....yani unanisema alafu nimeanza kujirudi ndo unaniruka???(ngoja nimwambie CPU jinsi unavyomharibia!! )
 
LIZZY NAKUPENDA SANA,
hutaweza elewa ni jinsi gani ila kwa salamu hii naomba niufikishe upendo wangu kwako.
upendo usio na kipimo,upendo usio na mipaka,upendo usio na unafki,upendo toka ndani ya moyo.UPENDO WA AGAPE.
HAVE A BLESSED DAY!!

Dah! Siamini!!!!!!!!!!
 
So sweeet asante Birungi kwa upendo mwingi!!!
Nakupenda pia!!!
 
Back
Top Bottom