I love you............the most "desirable" mmu females

Umejuaje? Ningekupa kloroform kabisa.
Na usipoangalia nakumwagia tindikali

Afu unajua kuwa mie nafanana sana na Omotola hasa macho?

Dark City, ujue wewe huwa ni ikweta yangu, nikiona sielewe kitu, wewe ndio huwa mtu wa mwisho kunielewesha.
Na mawazo yangu yakichengana na yako huwa napata shida sana.

Ahsante sana Dada/Kaka Kongosho,

Ubarikiwe sana kwa kumwandalia Babu week end yenye furaha!!

Ndiyo maana kwa Babu, MMU ni next to Bibi DC!!

Babu DC!!
 
Wooh,Mwali,tupe basi dodoso kwa nini hivyo.Mimi napaenda avatar yako na kwa jinsi gani unachanganya comments zako kutokana na thread ilivyo.I did enjoy your comments while contributing EROTICA'S nice thread

aaww so sweet.
 
Jina langu!

Unanitakia nini mimi,
Wataka nichangie hapa? Kwa huyu anayejisifu kwamba anatoa stress na boredom kwenye jukwaa hili?
Kwamba flirting inayofanywa hapa anaipenda sana!?
Hi sweetie,jamani mbona hivo,hivi kweli uliona MMJ ni wa mana kuliko bishanga? nikupe nini unirudie mpenzi? nafa jamani nafa uuuuwwwwwiiiii waniua Eliza wa T.Sema utakacho,nikujengee nyumba nyingine? gari jipya wataka? au trip ya las vegas bado waitamania? just say it i will do ili mradi mahbuba urudi mikononi mwangu,niokoe mwenzio niko kwenye lindi la mateso,kila mtu jf ananicheka jamani!
 
Wewe Ambitious,

Mbona unataka kuleta mambo ya chagulaga enzi hizi za dotcom?

Husninyo akikubaliana na hiyo biashara namwondoa kwenye orodha ya wajukuu zangu...Lol!!

Babu DC!!

Sasa Babu DC mbona unaanza kuleta zengwe.Hauwezi kula ulichopanda acha watu wale bwana.
 
Hivi unatafuta pa kufia?

Hujakoma tu, hadi utolewe mshipa ma noah pori

Hi sweetie,jamani mbona hivo,hivi kweli uliona MMJ ni wa mana kuliko bishanga? nikupe nini unirudie mpenzi? nafa jamani nafa uuuuwwwwwiiiii waniua Eliza wa T.Sema utakacho,nikujengee nyumba nyingine? gari jipya wataka? au trip ya las vegas bado waitamania? just say it i will do ili mradi mahbuba urudi mikononi mwangu,niokoe mwenzio niko kwenye lindi la mateso,kila mtu jf ananicheka jamani!
 
Ahsante sana Dada/Kaka Kongosho,

Ubarikiwe sana kwa kumwandalia Babu week end yenye furaha!!

Ndiyo maana kwa Babu, MMU ni next to Bibi DC!!

Babu DC!!
kwenye red sikuelewi mkuu,you mean kongosho is a....... embu dadavua tukuelewe.
 
Umefulia wewe
halafu wewe na hako kachuchu kako ka arusha,nasikia mmeishiwa hadi mlipokuja dar last week mli hibernate buibui gest kinondoni,mbu walikuwa wenu,kunguni wenu,chawa wenu,kelele za mlango wa pili zenu,hivi mlifaidi nini kusafiri kote huko?
 
Hivi unatafuta pa kufia?

Hujakoma tu, hadi utolewe mshipa ma noah pori
wa kumtoa mshipa bishanga nani?hata yule bwana wa indefatigability (sadamH) alinishindwa itakuwa MMJ na hako kajembe kake? don't play with this number,kina kirefu hapa!
 
halafu wewe na hako kachuchu kako ka arusha,nasikia mmeishiwa hadi mlipokuja dar last week mli hibernate buibui gest kinondoni,mbu walikuwa wenu,kunguni wenu,chawa wenu,kelele za mlango wa pili zenu,hivi mlifaidi nini kusafiri kote huko?

Ayaaaa weeee kumbe bepari mzima unadanganywa na kudanganyika kirahisi hivyo?
 
Back
Top Bottom