I love you, i love you so much baby, but we just cant be lovers

Kizungu not reachable. Hebu nitafsirie tena kwa ufupi sana kama msitari mmoja hivi halafu nitarudi sawa eehhh
Mmmh,mbona we umeweka Ki English hapo chini kwenye nanihino yako.....
"A Little Impatience can spoil great plan!!!!!!!!!!!!!!!"

hapo ni kwamba unapigwa kibuti cha kistaarabu...

Mi nafikiri hana nia mbaya kabisa huyo dada hata mimi hunitokea nakuwa navutiwa na mkaka lakini cpendi uhusiano nae wa kimapenzi kwani hana vigezo ninavyohitaji ila tunaweza tukawa marafiki wa kawaida tu, ila wakaka kwao hii kitu ni ngumu kabisa sijui kwa nini

Na Tu discuss hiyo Title hapo Juu Jaman,

About three of Rafiki zangu wametokea kuambiwa hiv na Wadada wanaowapigia Misele..

Mmoja wao ndo alienda Mbali kidogo na huyo Mdada,mdada alionesha dhahiri anamzimia Mshikaj wangu,walifikia hatua hadi ya Kufanya "Fore plays", but hiyo kauli hapo Juu ika mfanya mshikaj wangu a Freeze....

Hiyo kauli ina Maanisha nini Ki undani zaidi jaman

kwani hao rafiki zako wanakwambiaje kuhusu hao wapenzi wao? baada ya hayo maneno kuambiwa nini kinaendelea? Kama malavidavi yanaendelea Kama kawa huna haja ya kuumiza kichwa chako hiyo ndio lugha ya kuthibitishiwa unendwa zaidi

Back
Top Bottom