Shine JF-Expert Member Feb 5, 2011 11,481 1,364 Feb 18, 2012 #81 Umechukua hatua gani ya kupa kitu kama hicho?
Masikini_Jeuri JF-Expert Member Jan 19, 2010 6,829 1,296 Feb 20, 2012 #82 Preta said: jamani sasa hii kwa suala zima la kula bata inakuwaje.....? au nyie full kazi kazi.... Click to expand... Unakula bata kwa sana ..............hii kitu ina music na full ac............yaani ni bata full full
Preta said: jamani sasa hii kwa suala zima la kula bata inakuwaje.....? au nyie full kazi kazi.... Click to expand... Unakula bata kwa sana ..............hii kitu ina music na full ac............yaani ni bata full full
Kiziza JF-Expert Member Dec 10, 2011 439 76 Feb 22, 2012 #83 MadameX said: Jamani maradhi yangu haya hapa......lazima nichune mtu aninunulie hii kitu, so kaa chonjo lol Click to expand... Mpaka ununuliwe na mwanaume hujiamini??
MadameX said: Jamani maradhi yangu haya hapa......lazima nichune mtu aninunulie hii kitu, so kaa chonjo lol Click to expand... Mpaka ununuliwe na mwanaume hujiamini??