I love this ride:

wewe E wa T,

Inabidi nikutafute wewe.........yani hii kitu mimi ndo basi tena............Uzuri ni kwamba I can afford my dreams, my dreams are realities......
Kuna mandoto ya watu nimeyaona humu...........kudadeki yatabaki ndoto milele!!

1284530187_121009138_2-Nissan-Safari-3-Door-Manila-1284530187.jpg

ha ha ha kama nani? mwamdenyi nini? hahahaaa
 
oooh my God, yani hii ndo gari of my dream, ila iwe black. nazichanga very soon ntalimiliki ila wabongo utasikia kahongwa yule awezi miliki lile gari.
Lakini uwe makini na Morogoro road.........malori yakikuotea utakuwa huna gari tena hapo.......

anyway, nafungua duka la spare basi, utakuwa mteja wangu.............
Au na mimi hilo duka la spare za hii makitu liwe dream yangu nini?
 
oooh my God, yani hii ndo gari of my dream, ila iwe black. nazichanga very soon ntalimiliki ila wabongo utasikia kahongwa yule awezi miliki lile gari.

sasa shida ni nini?wewe zichange achana na mamneno ya watu bana
 
Lakini uwe makini na Morogoro road.........malori yakikuotea utakuwa huna gari tena hapo.......

anyway, nafungua duka la spare basi, utakuwa mteja wangu.............
Au na mimi hilo duka la spare za hii makitu liwe dream yangu nini?
yani kama ulikuwepo mana naishi uko uko morogoro road, Loh mungu anilinde na gari langu wasinifanyie ubaya. we fungua tu mana spare hazikwepeki.
 
yani kama ulikuwepo mana naishi uko uko morogoro road, Loh mungu anilinde na gari langu wasinifanyie ubaya. we fungua tu mana spare hazikwepeki.
hahahahaa!!

ngoja nikupe story....

kuna wanandoa walikuwa wanapanga mambo yao ya maendeleo,
wakasema watanunua ng'ombe, then, ng'ombe atatoa maziwa, watanunua P/Up ya kuleta majani na kusafirisha maziwa.

Sasa, ikaja issue ya nani ataendesha P/up kupeleka maziwa, na kwenda kuchukua majani Vs nani atazoa kinyesi cha ng'ombe......

Weeeeee.........ugomvi ukazuka, mama anasema yeye ndo mkata majani, ataendesha p/up, mzee anasema, mama zalima azoe kinyesi,

Basi mzee akawaka,,....utazoa, hiuzoi? mama, sizoi,
Mzee, akaaza fujo, akampiga mkewe, akamvunja mkono.

Sasa, mipango tu, ikaishia kwenda kutibu mkono.....kudadeki!!!
 
Yaani kwa type ya hizi gari!!!! mie dah!!!

imagesjeep.jpg

2007-jeep-wrangler.jpg

kwa ufupi napenda sana gari za kampuni za jeep na landrover.... hapo usisahau kabisa freelander 2
 
Attachments

  • v6.png
    v6.png
    41.9 KB · Views: 24

Similar Discussions

Back
Top Bottom