I love my wife but...

Duh hivi it reach a step maisha yanakuwa hivi? Ndoa ndoano

Mokoyo ndiko anakoipeleka ndoa yake
We unafikiri mke wake akichoka atafanyaje
na yeye si atatafuta mtu wa kumpa kampani usiku
nae awe anapigiwa simu na kupewa maneno mazuri
Ndo hapo utakaposhangaa mkeo anasema aise piga baadae au kata subiri nikupigie hili lijamaa liko hapa
 
Na urafiki huo hauishii huko huko nje bali hata nyumbani bado mnaendelea kupigiana simu na kuchat
lazima mwanamke wako ajiulize ni nini mnachochat na kuongea muda ambao sio wa kazi
Kama ni issue za kazi kwani haziwezi kusubiri kesho yake mpaka akutegee uko na wife wako anakupigia simu mnaongea
Ha ha ha umenichekesha sana mkuu,hawa watu ni wazuri sana ila ukiwahandle vibaya ni BALAAAA,KWA KIASI KIKUBWA SIE WANAUME NDIO HUWA TUNAWAHARIBU. Huyo shem wetu siku akiacha kulalamika tu....ujue tayari wajanja wameshaanza kumCHAKACHUA. INABIDIDI JAMAA ABADILIKE KABISA.
 
Nashukuru kwa shauri mbali mbali ambazo zimetolewa nitazingatia coz lengo ni kudumisha hii bond idumu, ila swala la kuzima simu haitakuwa rahisi kwangu kutokana na nature ya shughuli zangu.

Sidhani kama mimi ningekuwa na problem kama wife angekuwa na friends lukuki ila offcoz nisingeruhusu wasumbue usiku.

Sema wasiwasi wangu ni kwamba if i surrender to this and or change my contacts i will be giving her a ticket to turn into a complete control freak :shock:
 
Ndo maana nasema mkuu siku akiona mkewe halalamiki tena ajue kuwa kashaingia shule na yeye
Na hapo hataona kitu tena kwa mkewe
Atajishangaa siku moja na mkewe nae yuko busy anachat usiku akiulizwa anasema ni mfanyakazi mwenzangu wa ofisini au ni mwenzangu kwenye chama chetu kile cha kukopa au ni msusi wangu namwambia aje kesho kusuka au ni yule mama muuza genge ananiambia kuhusu madeni yangu au ni yule jirani yetu anayetuletea maziwa ananikumbusha deni lake
 
MHESHIMIWA MAUNDUMLA: EBU fanya kutugawia namba ya mkeo mimi au Mr Rocky au Mtambuzi tunataka kuchati nae tu wala usiwe na hofu just kuchat tu mbona unatoa mimacho na BP inakupanda,ni kuchat tu. mie nitampigia simu saa tatu hivi usiku!!!!!!!!!!!!!!!!!!,???????????
 
Nashukuru kwa shauri mbali mbali ambazo zimetolewa nitazingatia coz lengo ni kudumisha hii bond idumu, ila swala la kuzima simu haitakuwa rahisi kwangu kutokana na nature ya shughuli zangu.

Sidhani kama mimi ningekuwa na problem kama wife angekuwa na friends lukuki ila offcoz nisingeruhusu wasumbue usiku.

Sema wasiwasi wangu ni kwamba if i surrender to this and or change my contacts i will be giving her a ticket to turn into a complete control freak :shock:

Mkuki kwa nguruwe sio
Mkuu badilika if u want your marriage to last long na mkeo akupende na asiwe na wasi wasi na wewe kukuuliza maswali kibao kila mara
Punguza simu za usiku na chat za usiku
Mimi sizimi simu yangu ila ina limit siwezi kupigiwa simu saa nne au tano za usiku na watu wa ofisini na wala friends wa aina yoyote kunipigia saa tano za usiku isipokuwa kwa issue ambayo ni ya dharura na ambayo huwezi kuchukua muda kujieleza
siwezi kukaa nachat saa tano za usiku hata kama ni friends wanaelewa kuwa muda wa kuchat au kupiga simu ni muda gani
 
Ndo maana nasema mkuu siku akiona mkewe halalamiki tena ajue kuwa kashaingia shule na yeye
Na hapo hataona kitu tena kwa mkewe
Atajishangaa siku moja na mkewe nae yuko busy anachat usiku akiulizwa anasema ni mfanyakazi mwenzangu wa ofisini au ni mwenzangu kwenye chama chetu kile cha kukopa au ni msusi wangu namwambia aje kesho kusuka au ni yule mama muuza genge ananiambia kuhusu madeni yangu au ni yule jirani yetu anayetuletea maziwa ananikumbusha deni lake

hahaha

Mimi katika wale ambao wanaamini usitendee wenzako usiyopenda kutendewa

Hii ni kumaanisha kwamba sitakuja kumchunguza chunguza wife iwe kwa kushika simu yake au vinginevyo ingawa yangu inachunguzwa sana :lol:
 
Nashukuru kwa shauri mbali mbali ambazo zimetolewa nitazingatia coz lengo ni kudumisha hii bond idumu, ila swala la kuzima simu haitakuwa rahisi kwangu kutokana na nature ya shughuli zangu.

Sidhani kama mimi ningekuwa na problem kama wife angekuwa na friends lukuki ila offcoz nisingeruhusu wasumbue usiku.

Sema wasiwasi wangu ni kwamba if i surrender to this and or change my contacts i will be giving her a ticket to turn into a complete control freak :shock:
ha ha ha,mkuu ukishasaini cheti cha ndoa some how upo controlled na mkeo.
 
MHESHIMIWA MAUNDUMLA: EBU fanya kutugawia namba ya mkeo mimi au Mr Rocky au Mtambuzi tunataka kuchati nae tu wala usiwe na hofu just kuchat tu mbona unatoa mimacho na BP inakupanda,ni kuchat tu. mie nitampiga shm saa tatu hivi usiku!!!!!!!!!!!!!!!!!!,???????????

Mkuu umefanya la maana sana
naona huyu jamaa hana mpango wa kubadilika na bado anafikiria ule muda wake akiwa single
 
hahaha

Mimi katika wale ambao wanaamini usitendee wenzako usiyopenda kutendewa

Hii ni kumaanisha kwamba sitakuja kumchunguza chunguza wife iwe kwa kushika simu yake au vinginevyo ingawa yangu inachunguzwa sana :lol:

Na ukiona mkeo anakuchunguza sana jua ana wasi wasi na wewe
Na wala sidhani kama nina muda na simu yake
ya kwangu achunguze sana maana najua niko clean
 
Wakuu naona karibu wote mmbebobea kwenye simu za usiku na kuchati , kitu ambacho sija mention kwenye original post, pengine mnajaribu kuangalia general cases , this one is peculiar nadhani u have missed the point.
 
hahaha

Mimi katika wale ambao wanaamini usitendee wenzako usiyopenda kutendewa

Hii ni kumaanisha kwamba sitakuja kumchunguza chunguza wife iwe kwa kushika simu yake au vinginevyo ingawa yangu inachunguzwa sana :lol:

Mkuu hii nimekupa tahadhari kuwa siku ukiona mkeo na yeye amenyamaza halalamiki tena na anachat mpaka usiku jua na yeye kashaenda shule na amefuzu
Jihadhari sana yasitokee haya
 
Wakuu naona karibu wote mmbebobea kwenye simu za usiku na kuchati , kitu ambacho sija mention kwenye original post, pengine mnajaribu kuangalia general cases , this one is peculiar nadhani u have missed the point.

Wala sio usiku mkuu
Muda ambao wewe umerudi nyumbani na umemkuta mkeo
Muda ambao umemaliza kazi na umemaliza darasa
haijalishi ni muda gani umerudi
Ila muda wowote utakaorudi nyumbani mpe mkeo nafasi ya kukaa na wewe na afurahie kukuona
Sio tena umerudi home mara ngrrrrrr simu ya lady anakuambia mambo ya ofisini mara ngrrrrr simu nyingine lady wa darasani
Hujakaa sawa sms mara BBM mara notification
Unapata muda saa ngapi kukaa na mkeo na kuongea nae na kujua hali yake toka asubuhi mlipoachana
 
wakuu naona karibu wote mmbebobea kwenye simu za usiku na kuchati , kitu ambacho sija mention kwenye original post, pengine mnajaribu kuangalia general cases , this one is peculiar nadhani u have missed the point.
hiyo ndio main point bana,......haya tupe main point tuliyo i miss.
 
Get with the program.
Mpaka unamuoa ulitakiwa uwe umeshajua ni mtu wa aina gani pia ujue kama utawezana na matakwa yake. Sasa umeshaingia fuata sheria. . . . .
 
Mume wa mtu kwa nini uwe na urafiki na wanawake wengine? Unajua mambo mengine ni kujitafutia matatizo tu kwenye ndoa na mahusiano ya kimapenzi.

Kwanza hapo mwenye wajibu wa kutoendekeza huo urafiki ni wewe. Kwa nini uruhusu hao so called marafiki wa jinsia ingine wakupigie simu? Marafiki wa jinsia tofauti huleta matatizo tu kwenye ndoa. Na huhitaji kuwa rocket scientist kulijua hilo.

Mimi Ngabu siwezi kuwa na rafiki wa kike ambaye ni mke wa mtu. That's bullshit. Vivyo hivyo, nikiwa na mke sitafurahia yeye kuwa na marafiki wa kiume.

My standards are lofty and I don't compromise to take less. That is why Ngabu's wife must be above suspicion! Mtu unapigiwa simu na videmu usiku halafu unategemea mkeo asishuku wala kuhisi labda kuna kitu illicit unafanya? Come on y'all. Get real.
 
NN safi sana.
Nimeupenda uzi huu na maelezo yako
Asante kwa kumwambia ukweli jamaa hapo juu
 
Ninachoshangaa wewe unasoma na kufanya kazi na wanawake tu. Ukishaamua kuoa ni lazima uishi na kubehave kama mume.
 
mke kafungwakwa mme na mme kafungwa kwa mke bila hata maandishi yaani ni given
 
ndio maana watu wengine wanazaa na kuishi kwa muda mrefu kuliko kufurahisha jamii wakati kila saa uko under stress i.e unafanya vitu ili uifurahshe jamii au mke au mme.
jiamulie mwenyewe, usipooa nayo ina faida yake,ukimwi unakukalia mbali maana kila uendapo una condomn.
Pole ndg!
 
Back
Top Bottom