I love my girlfriend but am attracted to other girls.

Aisee takea bro, shetani anambinu nyingi sana za kuwanasa, afterall kila mdada anauzuri wake, so hutokaa upate mdada mwenye yote unayohitaji, cha msingi ridhika tu na huyo mtoto, si unajua hua wanaumia sana hawa viumbe hasa akijua kuwa huridhiki nae.. Kila la kheri

ushaur mzur, @ Senetor copy hapa!
 
Hello guys!!i've been with my girlfriend for over 2yrs,and i love her more than she can imagine.we have a lot of fun together,but recently i have found my self attracted to other girls,i know that i dont want to break up with my girl,but i keep on having the urge to flirt with other girls all the time.sometime i fantasize about kissing them.am i a sleaze?or mayb am i with the wrong girl?i'm so confused and i need your help on this.

hilo ni pepo la tamaa,tena tamaa ya uzinzi inabidi kukemea sana,tena sali/swali sana kushinda hiyo nguvu ya mwovu shetani maana imewakumba wengi hasa walioko kwenye ndoa ndio maana idadi ya nyumba ndogo na vidumu imeongezeka, hata kwa wasio katika ndoa wana miliki mademu kumi kumi,watu wanagawana wanagawiana mapenzi utafikiri ni wnagawiana utajiri kumbe wanagawiana dhambi na magonjwa,jiepushe mkuu if u dont want to be a victim
NB
Mkataa pema pabaya panamwwita..,
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom