The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,071
Natamani siku moja nione Bongo mama ntilie anampiga roba ya nguvu mgambo wa jiji
Hahaha embu wapelekee mpendwa!Yani inahitajika siku maalumu ya kamata kamata...sema this tym mugambo na polisi ndo wanapata sawa yao!Yes we can beat them police men & mgamboz who take the food we cook for business,mama ntilie wenzangu mpo??
naomba kuichukua hii picha Lizzy,niwaonyeshe mama ntilie wenzangu.....mgambo watusumbua sana ati.......:clap2::first: