I just got a new baby boy!!!!!

mwambie mtoto nae ajoin JF

Poa mkuu!ngoja afungue vimacho then ntaongea nae ili avamie jukwaa,lakini dogo mwenyewe amekaa"KIGAMBA GAMBA vile"bcoz anachekacheka tuuuuuuuu kama VASCO DA GAMA lol!
 
Hongera sana
spika Mungu azidi kukujalia neema zake katika malezi na makuzi ya mtoto.
Fahamu kuwa wewe na mzazi mwenzio ndio mtakao shape maisha yake kwa kiasi kikubwa. Kwahiyo ufanye vyema.
Mapenzi yangu to the little angel....
Oh thank you very much.
 
Last edited by a moderator:
Da Jembe jipya ndani ya Jamii Forums Hongera sana Comrade usisahau kumshawishi awe mdau wa hii kitu,zaidi Mungu ampe maisha marefu Mwanao

Ila aishie kwenye jukwaa la dini hapo chini...............lile jingine asikanyage...................Jina vipi? Hongera
 
Thx every body.
My new boy sasa nimempa jina rasmi(IKRIMA)ila anaonekana shalobalo shalobalo hivi lol!
 
Thx every body.
My new boy sasa nimempa jina rasmi(IKRIMA)ila anaonekana shalobalo shalobalo hivi lol!

hongera unanitamanisha kurudi labour mara ya pili Mungu ambariki akue katika hekima na maadili na kumpendeza Mungu.mleeni katika njia inayostahili Mungu awatangulie katika malezi hayo amina mbarikiwe wote
 
Senki yu vere machi!
 
Halafu wewe, DNA ya nini kitanda hakizai haram mkuu!

Hongera spika!

teh teh teh, ni angalizo tu mkuu, there is alwayz a small chance that 'the unexpected might actually happen'..
 
teh teh teh, ni angalizo tu mkuu, there is alwayz a small chance that 'the unexpected might actually happen'..

Zikianza hizo, halfu waseme wanaanzia kwa kila familia, hata wewe utagundua unatumia jina si la baba yako.

Tuyaache hayo ya wazungu huko huko, labda ktk maswala mengine lkn kwa hili mh patakuwa hapatoshi!
 
may all the precious little moments warm your heart forever...congratulation on the new arrival!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom