I hope Smile is smiling at me right now!!!!!!!!!

Shem ujue tayari tumesha andaa posa tunaomba utukaribishe

Huyu Smile kigeugeu sana mbona ameanza kumfukuzia Nitonye humu humu kwenye hii mada lol..............naona ana wenyewe................This gal is no longer mine...........
 
Hahahah......bishanga bepari la kihaya, loh afanye fanye tu akina koku waolewe ili aongeze mtaji la sivyo ataokota makopo aisee!

Bishanga kajificha wapi?
 
kama nataka maziwa kwanini nifuge ngombe wakati maziwa yapo mtaani kibao mapipa kwa masim tanki yamejaa?

Maziwa gani tena wahitaji na mimi ni maziwa kibao..................kama vya nje bado vya kuvutia basi you are not mine................you belong to someone else................
 
Back
Top Bottom