i hope.......1day

uckate tamaa/ucwe na pupa mana utaangukia pua mrembo, omba kwa imani yako utapata wa kwako wa dhati....goodluck.

Umwambie wanaume tumetofautiana wengine ulimi mzito kusema swittiei au hane yaani kazi ulimi mzito mshauri mwenzio luv.
 
Nimeumia sana vkeissy, kwani ni mara ya pili kama sikosei unamlalamikia huyo mtu.. Pole Mama MUNGU atakupa unaefanana naye! Kilio chako kimesikika.. Ningekuwa.................................. Loh! Siwezi malizia. Pole Mrembo..
 
Ndio ukubwa huo mwanangu!!!!!!!!!!!!!!!!!

najisikia kucheka kwa hasira wallah!!!!

aah mdogo wangu usiumize kichwa .................
 
Ndo mapenzi hayo shosti, yana kila aina ya ups and downs. Search your heart very well and make a decision. Ndio wapo wanaume wanaojua kupenda, caring, loving and very thoughtful, ukijipa muda na kuchunguza kwa kutumia brain na siyo heart utampata. Lakini pia kila mtu ana aina yake ya kupenda, wengine hawapendi kuexpress feelings zao wakidhani huo ndo uanaume, lakini deep inside they care ila tu hawasemi wala kuonyesha. so inahitaji uchunguze na kuamua mwenyewe. all the best na pole kwa maumivu.
Ni kweli zingatia aliyosema Carmel, wapo wanaume hawapendi kuonysha ila they real Love na wapo wanaoonyesha mapenzi honey, sweet herat kwa wingi lakini ni uzushi mtupu. Be careful use your brain na umuombe Mungu sana.
 
the guy loves you, he is not gifted to show it outside. ndiyo maana ukimuona tu nguvu zinakuishia.
 
the guy loves you, he is not gifted to show it outside. ndiyo maana ukimuona tu nguvu zinakuishia.

SIJUI....maana....he doesn't show kama ananipenda things kama anavyojibu simu....anapoke unasemaje....ukimbip akipiga neno l akwanza sina hela ongea haraka....uwiiii ndifwaaa...yani ananikosesha raha....
 
hahaaaa jamani wewe mtoto mimi acha tu nicheke kwa leo na naomba unisamehe sana kwa hili!!!
 
yani simuelewi jamani kama ananipenda au vipi nkimuliza kama anihitaji hasemi kama ananipenda hasemi mimi napenda mwanaume ananiambie ananipenda anipigie simu at least once per day jamani...lakini sio huyu yani ananiudhi nshamwambie sana lakini haelewi...yani he is not caring,hana romance....yani hana ukimwambia I love u anajibu haya..au poa baadaye...yani hiyo mi inaniboa.....

Hiyo tabia ya kutojibu ''I love you too'' ameianza lini~>? Au hajawahi kusema kabisa? Halafu kwa culture zetu za kibongo bongo jamaa anaweza kuwa anakupeleka kijeshi jeshi lakini moyoni mwake anakupenda sana! Pengine hayo mambo ya I love you, I love na simu kumi kumi kwa siku anaona ni ya kitoto na ni maigizo zaidi kuliko uhalisia wa mambo!

Jaribu kwenda anavyotaka yeye, na siyo kulazimisha mapenzi ya kwenye tamthiliya! Nimegundua hizi tamthiliya za kwenye TV zina madhara makubwa sana kwa mabinti wa Kibongo linapokuka suala la ''caring'' kwenye mapenzi. Wale watu pale wanaigiza, na hata kama ni kweli, ule ni utamaduni wao tu!

Try to relax and ''dance to his tunes'' uone kama hamtakwenda sambamba. Pengine kulazimisha kwako mapenzi ya maigizo kunamboa hata yeye!
 
SIJUI....maana....he doesn't show kama ananipenda things kama anavyojibu simu....anapoke unasemaje....ukimbip akipiga neno l akwanza sina hela ongea haraka....uwiiii ndifwaaa...yani ananikosesha raha....
"NJOO KWANGU UNACHOTAKA NTAKUPA,
NJOOKWANGU UNACHOTAKA NTAKUPA,
USIHOFU MIMI NI WAKO,
USIHOFU MIMI NI WAKO,
ISAGHA GWE NGUBHULEEE,(itikia angwisa)
ISAGHA GWE NGUBHULEEEE,itkia angwisa)"
kawimbo aliimbaga nani vilee?usiumize kichwa mama tupo watu hapa kwaajili yako.:hug:
 
SIJUI....maana....he doesn't show kama ananipenda things kama anavyojibu simu....anapoke unasemaje....ukimbip akipiga neno l akwanza sina hela ongea haraka....uwiiii ndifwaaa...yani ananikosesha raha....

May be you beep him at wrong hours. Na ndio maana ukiuchuana siku mbili anakutafuta. Yawezekana unamboa vitu vidogo vidogo sana, ila sio mtu wa kusema moja kwa moja! Jaribu kuacha kufanya vile vitu ambavyo huwa vinamfanya akujibu mkato mkato.
 
hio one day,asipotokea je?

I like the way you are thinking. But please try to encourage positive sorroundings to support your positive attitude and thoughts. That way, positive energy will prodice positive achievements to your goals.
 
Jipe moyo dear wangu akupendae yupo na siku yaja utakutana nae tuu...unajua sisi binadamu mawazo yetu na maisha yetu yoote mungu ndio anayajua......jipe moyo mungu atakusaidia....keep your needs in the hand of god....
 
SIJUI....maana....he doesn't show kama ananipenda things kama anavyojibu simu....anapoke unasemaje....ukimbip akipiga neno l akwanza sina hela ongea haraka....uwiiii ndifwaaa...yani ananikosesha raha....
OMG Gal i dont how old r u but u r making a big mistake... i donno how deep ur relationship is have u two slept together? (skip the question if it is too personal), as I said before I dont think this guy love u but may be u need to change your attitude...I will give u some lessons if it will help

Lesson no one: Dont be the first to get in touch or u know what dont call him so often or dont even beep him he will think u r desperate because u r trying too hard... actually if he calls take ur time to answer his phone calls or sometimes dont answer his calls
Lesson no two: Don't dictate him to what he must do.. because if he doesnt know how to treat u then (https://jamii.app/JFUserGuide off) honestly if i was u i will help him to pack and leave.... dont waste ur time..show him that u love urself,,,

Ok thats it for today if u need more help I'll be here
 
na hapo unaweza kuta ana wa pembeni hizo i luv u na makororokoro yote anaambiwa , akija huku hata mahabuba hatamki, mapenzi yangeondolewaga duniani bwana.
hahaha .... mapenzi yasiondolewe ila sisi wanawake tunakosea kuwapenda sana kushinda tunavyojipenda sisi wenyewe... kama mie ndio ntaanza kutafuta mtu wakunidanganya (sweet talk) kama yeye ameshindwa... u know what I have learned? if you want to be loved u should love urself first... If u cant love urself how do u expect someone else to love u?
 
May be you beep him at wrong hours. Na ndio maana ukiuchuana siku mbili anakutafuta. Yawezekana unamboa vitu vidogo vidogo sana, ila sio mtu wa kusema moja kwa moja! Jaribu kuacha kufanya vile vitu ambavyo huwa vinamfanya akujibu mkato mkato.

kama sitopiga hapigi.....siku nzima........na kwake kama nispomwambia nakuja inaeza ikapita hata mwezi hajaniita.....na kujibu i love too sio every time namwambia i love unajua kuna situation nyingine jamani like in sex eeeh mtu amekufurahisha mpo kitandani hata ukisema jamani ilovee u....utasikia ok au haya then huyooo anageukka pembeni mi najua mapenzi ya kibongo lakini kuna zile situation ndo zilivyoumbwa na mungu lakini yeye hana hata hizo HATA UMFURAHISHE VIPI HASEMI ASANTE....hasemi chochote yani anankera kwa hilo....ukimwabia anasema mi siezi badilika...hivi kuna watu wa hivi duniani yani hajali niwepo nisiwepo kwake is okey..........
 
pole sana dadaaa! mapenzi ni complex issue, cha msingi we jiweke bize na shughuli zako lakini si kwa maana ya kumchunia! muda utatibu ugonjwa wako, Kwani kuna kitu chochote ambacho unategemea kwake zaidi ya kumpenda? kama ndiyo basi we tulia na unapojiskia kuongea nae kwenye simu jitahidi mazungumzo yako yawe ya kawaida sana, na si ya kuonyesha dalili yeyote kua umemmic, ucmwambie plan zako za maisha, usimsifie yani kwa kifupi uconyeshe care ya haina yeyote NA kubwa zaidi' usitake kujua mambo yake( WE NI SALAAM TU BASI) ata kama sm kapiga yeye, labda kama yeye amekuanza . kwanza itakusaidia kumsahau polepole kama hato jirekebisha.Kama kweli anakupenda utaona anaanza kurudisha mapenzi kwako. Now is time to focus for your future, thinking about him will cost your time with nothing to gain.pls open your eyes, nashindwa kuto vingine kwa kuwa sijui umri wako, na kama unafanya kazi au unasoma, kama ukizingatia hayo, am sure you will konkaa with mi.pole sana, because i feel the pain if some one is hurt.gdluck its me with :frown:
 
SIJUI....maana....he doesn't show kama ananipenda things kama anavyojibu simu....anapoke unasemaje....ukimbip akipiga neno l akwanza sina hela ongea haraka....uwiiii ndifwaaa...yani ananikosesha raha....
ha ha ha ngoja niingie mgombani mie!!
 
Back
Top Bottom