I have to do...ila isiwe Arusha

njoo Koinange street Nairobi, utawapata chap chap tena wabunge lakini hapa MMU hutopata ng'o. wamejiheshimu na ndoa zao.
 
Nilikua naskia tu kwamba kuna wanawake vicheche ila sijapata ona wala sikia! Maria you have a beauty name, jitunze tu hutakufa pls, halafu inaonekana tayari kuna mtu!
 
No!!
nikifanya na mtu wa Arusha au yeyote anayemfaham hapo nitakuwa nimemdhalilisha
Hivi Husninyo nifanyaje kwani yeye huko ..........

hutakiwi kumuwazia mabaya mpenzi wako. Ukihisi kusalitiwa utapunguza uaminifu hatimaye wewe ndio utaanza usaliti wakati mwenzio hana hayo mawazo. Halafu magonjwa mengi siku hizi (hapa nimeongea serious kabisa)
 
he he nichague mimi lol nakuahidi itakuwa siri, Mungu saidia mai wife asipitie hapa
 
Go girl, jipe kitu roho inapenda! Ila usisahau condom na dawa just in case mmekuwa rough kidogo!

Wakaka vipi? Mbona waoga hivyo, au ndio kupenda kuwa kwenye leading position!
 
pls lolyz nazidiwa na mihemko kufikia wakato flani usiku sipati usingizi
yaan hata nikishuka njiani popote iwe tanga au singida nani anayenijua????????
unanikera maria! hata baada ya kuwamiminia wanawake sifa kemkem unaniangusha?
 
Hili ni fundisho kwa wale wote wanajidai wanapenda sana, kumbe mademu wenyewe mdebwedo kabisa hapo unaweza kukuta jamaa haimbiwi kitu kwa huyu demu tena bora ingekuwa siri duh.
 
Hili ni fundisho kwa wale wote wanajidai wanapenda sana, kumbe mademu wenyewe mdebwedo kabisa hapo unaweza kukuta jamaa haimbiwi kitu kwa huyu demu tena bora ingekuwa siri duh.

umeona eeeeeeeeeee!....ngoja subiri wahafidhina wa mapenzi waje hapa
 
hutakiwi kumuwazia mabaya mpenzi wako. Ukihisi kusalitiwa utapunguza uaminifu hatimaye wewe ndio utaanza usaliti wakati mwenzio hana hayo mawazo. Halafu magonjwa mengi siku hizi (hapa nimeongea serious kabisa)

Lkn Hussy, sasa mwenzio afanyaje na mwili wahitaji? Kuhusu magonjwa si kuna kinga! Tena huoni ameenda extra mile ya kuprotect dignity ya mchumba wake kwa kutafuta a total stranger ambaye he is just a sex machine!
 
sasa kama shida inaletwa na hako ka-baby walker (starlet) alikokuachia,si bora uka-park? yaani kaka wa watu kakuachia katuk tuk kake (kuna watu humu magari ya waume zao wa ndoa hata lifti hawapewi), afu unasingizia kanasababisha mihemko! ww mwanamke wa wapi,u cant control ur feelings.ina maana hata jamaa akikuoa asipate course abroad ya miezi 4,utabaka hboy?! mweh!
 
Lkn Hussy, sasa mwenzio afanyaje na mwili wahitaji? Kuhusu magonjwa si kuna kinga! Tena huoni ameenda extra mile ya kuprotect dignity ya mchumba wake kwa kutafuta a total stranger ambaye he is just a sex machine!

mwili una mahitaji mengi na kama tukitaka kutimizia kila hitaji tubaka hadi mende.
Anashindwa nini kuvumilia kwa kipindi hicho na jamaa wa watu kashaonesha anamjali!
Halafu mapenzi hayajaribiwi ati. Tena hao mastrangers ndio wa kuwaogopa kama ukoma.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom