I have never seen,a woman who loves

Alvin Slain

JF-Expert Member
Aug 30, 2011
6,375
3,655
Ninasema hivyo coz kila mwanamke anataka mtu mwenye pesa au mwenye maisha mazuri!Nina 23yrs lakini sijawahi kukutana na mwanamke aliyenipenda jinsi nilivyo kila mmoja anacheka nami akiwa na shida lakin shida yake ikiisha hutaona hata manyoa yake sasa nataka kujua tabia za mwanamke anayekupenda ukweli na sio kauka nikuvae mana nimeshindwa kuelewa mwanamke anahitaji nini kutoka kwa m/ume NAWASILISHA!
 
Achakufukuzia wanawake bar au disco.kama unataka mwanamke akupende tafuta maeneo yanayokuwa na wanawake wenye heshima.
 
Mwanauume anapenda kwa maono,mwanamke anapenda kwa mguso.
That why mwanamke ulemtoa usichana aachi kukupenda hata kama huna kitu,
sema tatizo hawa dada/mama zetu tamaa wanaitanguliza mbele.hata kama anakupenda!
 
Ninasema hivyo coz kila mwanamke anataka mtu mwenye pesa au mwenye maisha mazuri!Nina 23yrs lakini sijawahi kukutana na mwanamke aliyenipenda jinsi nilivyo kila mmoja anacheka nami akiwa na shida lakin shida yake ikiisha hutaona hata manyoa yake sasa nataka kujua tabia za mwanamke anayekupenda ukweli na sio kauka nikuvae mana nimeshindwa kuelewa mwanamke anahitaji nini kutoka kwa m/ume NAWASILISHA!
1 Tumefahamu kuwa ni kijana
2 Unamaisha mazuri Kama usemavyo
3 Unachunywa ipasavyo na mabinti
Sasa huu unaweza kuwa ni mtego kwa mabinti wenye tamaa humu JF AMA wewe hautoi game la ukweli ndio maana mabinti wanasepa. Mkuu jichunguze kwanza kabla haujawapa lawama hawa viumbe
 
Tatizo lako ni kwamba, unavyokutana naye kwa mara ya kwanza mwenyewe huwa unajifanya wa matawi fulani kwa hiyo basi kwa wakati ule yuko nawe kulinganana na hali uliyomuonyesha. Nini kifanyike? Hebu jaribu hivi badilisha hali yako kabisa halafu jifanye mtu wa hali ya chini kabisa halafu tafuta mdada ukiwa katika hali hiyo naamini huyo atakuwa wa ukweli. Isije ikawa tu wewe mwenyewe unataka wa dada wa matawi! Best hutamjua anayekupenda kweli.
 
Achakufukuzia wanawake bar @acha hasira. unamtizamo hasi sana juu ya kaz za wa2. Kufanya kaz bar haimaanish kuwa na tabia mbaya kwani hayo ni maisha ya mtu binafs kama kufanya biashara zingne. Hawa hawa ndo tunakutana nao misktn na makanisan na kuwatetemekea kwa kigezo cha mazngra kwamba wametulia. Mi nadhan kama ukiishi ndani yako unaweza oa kahaba kwa sababu yy atakuwa anayajua mapenz na sio kiruka njia kwani hakuna asichokijua.
 
Kwa uo umri wako embu soma kwanza. Nadhani hata kitanda haujachonga bado. Unachotumia bado ni kile walichokununulia wazazi. Wanawake lazima waku yeyushe hapo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom