I have moved

You did the right thing. Hata ungebaki ingekua right pia. Mbaya ni kuchange tena your mind... Stick to one decision, the one that makes you feel that you are on the right track...
 
Wala wasikukatishe tamaa kabisa, tulia panga maisha yako, hakuna linaloshindikana!! Go to the court of law, find the custody of ur kids, then life goes on!! Tulikushauri mengi ila we ulichagua kumpa mumeo another chance. But for now, the best thing I can see in you is that line of ENOUGH!! Safi sana!
 
Maamuzi yoyote yenye shinikizo la HASIRA,KERO,GHADHABU,UCHUNGU NK.. Huwa hayana mwisho mzuri.. Lazima mwananchi Ilekwako.. Best yangu alikuwa hana uwezo wa kuzaa. ingawa yeye na mumewe waliishi bila kufunga ndoa takriban miaka minne. sasa haikujulikana soon nani mwenye tatizo kati ya Best na Mumewe. walikwenda kwa madaktari kadhaa na hawakutambua tatizo nini as Normal hospitali zetu darubini na vifaa vyake ni ya toka 47.. (Imagine the Agha Khan Hosp inashindwa Kung'amua Tatizo la Zito kabwe na kumwambia yuko Ok all three times alipokwenda, then alipopelekwa Muhimbili soon wakagundua ana vidudu 150 vya maralia..Utaniambia kuna Hospitali Bongo?). As Time Goes Mumewe akawa akimnyanyasa kumnyuka na kumdhalilisha so many times. Mdada alikuwa na uwezo wa kufanya biashara zake vizuri tu na alikuwa ni mmoja kati ya wale wa home kabisaaa.. mwaminifu 100%. Akaamua kufanya maamuzi magumu kumwachilia mbali kidumemtu huyo. But problem ikawa all the time alikuwa na uchungu na Hasira na alitambua maamuzi akiyachukua kwenye hasira hayatakuwa ok(utaji-lowasa bure). But one day wakawa na Good time na Mumewe, wakaongea na Kucheka.. Imagine hata msosi wakalishana..Ikawa realy happly Day, wakaenda Kunako Chumba na mambo yakaiva na kuiviana. after zoezi kwisha Yule mdada akamwambia mumewe. Today nimekuwa na siku murua saana na wewe. na nimeinjoy kwelikweli, na wewe you are the man of my life. sitaki Hii picha Iondoke alikini mwangu, Leo naomba mimi na wewe Tuachane kabisaa. Niwe mbali na wewe ili Hiki kizuri nilichokipata leo kibakie hivi hivi inside me. Niendelee kuwa na Image nzuri na wewe, Nitahama kabisa mji huu. But I wish upate mwanamke mwingine uoe na mwenyezi Mungu takujaalia watoto.. So Please kesho asubuhi I will Go.
Jamaa alihamaki, akachanganyikiwa, unajua that Day mwanaume alilia sana na Kumwambia mkewe amsamehe na atamantain Love. Ila mwanadada alimsisitiza Mumewe waachane wakiwa kwenye mood ya furaha ili yeye aende with peace. Ilibidi mwanaume ajitutumue kubembeleza na from That Day akaset tarehe ya ndoa.. sasa wanaishi safi kabisa.. hata Ukitaka namba yao ya cm ntakupa.. uwatembelee.. uwaulize.. wala hawafichi watakwambia..
 
its obvious he z neva gona change,cha msingi let hm go n kubali the fact that alot wl change but hav faith in urself na mshike sana mungu wako.
 
Geralisations nyingine bwana!
 
Binafsi nimependa sana ujasiri wako wa kuhama, uko juu mami. Simaanishi kwamba kulea watoto peke yako/au kuishi peke yako bila mzazi mwenzio ni jambo jema sana.. But kulingana na maelezo yako huyu mwenzio hayuko serious kabisaaaaaaaa.. Pamoja na yote hayo unayofanya bado hajaitambua thamani yako kabisa, na ndio maana anaweza kukupiga na hata kutembea na wanawake wengine bila hata aibu. Hayo machozi anayotoa ni geresha tu ili uendelee kumlea. Wakati mwingine mimi huwa naona neno SAMAHANI au kuomba mtu msamaha mtu/watu huomba tu au kusema samahani bila kumaanisha, ndo maana mtu anarudia kosa lile kila wakati
 
pole sana........... sikupi hongera wala nini hadi after 1 year maana wengine hufanya hivyo na kurudi, which in facts... disturbs kids more
One of my sister aliondoka akamaliza mwaka mmoja akaishi peke yake na baadhi ya watoto Likini Cha ajabu akaja kurudi kimagumashi bila ata kikao Cha kimkanya huyo mumewake dhidi ya tabia alizokua akimtendea sister Kama kumpiga Hadi kumjeruhi ,niliudhika Sana maana huyo jamaa sio maramoja anampiga sister since Niko primary Hadi nikiwachuo sister ananitafuta usiku mmnene akilia kwamba anapigwa ,,, Mimi Kama kaka Kuna kipindi ilibidi niingilie kati tukamlaza ndani huyu bwashe
Tena huyu shemeji alizidi kumuonea Dadangu baada ya Babayetu kufariki maana aliona hakuna wa kumtetea Tena kwa mtetezi wake amesha fariki ,,, Ni stori ndefu aseeh ila Kuna wanaume hawastahii kupewa ata vyeo vya kuitwa baba maana hawajui kwanini waingia kwenye ndoa na wanatakiwa ku behave vipi ,,
Shortly Mimi naona dadazetu huwa wana woga Sana kwenye swala la kuamua ku move on kiukweli kweli naamini maisha yanaweza kuendelea ata bila kua na huyo jamaa wewe jiamini anza moja kilakitu kinawezekana , usije ukarudi kwenye mikono ya mtu ambaye hakuthamini
 
Back
Top Bottom