I have lost my laptop - toshiba satellite pro

hundukad

Member
Jun 26, 2010
16
1
Wadau habari yenu,

Kama wiki mbili zilizopita nimepoteza laptop yangu aina ya Toshiba Satelite Pro pamoja na modem ya airtel pale CRDB Bank Tawi la Mbezi kwenye parking ya magari.....Laptop siyo issue tatizo data nilizokuwa nimedhihifadhi kwenye hiyo laptop....naomba ushauri police hawangaiki wananiambia hakuna mtuhumiwa hivyo hawana sababu ya kufuatilia...sasa wachache wameniambia nitoe kilio changu hapa JF sintakosa ushauri wa jinsi ya kuipata......

Tafadhali naomba ushauri
:angry:
 
Pole sana mkuu.Maji yakimwagika hayazoleki, inabidi uikubali hali ya kuibiwa na uanze mipango mingine kwani jinsi mda unavyokwenda ndivyo uwezekano wa kupatikana unavyokuwa mdogo.Usijejikuta unapoteza ghalama zaidi kwa kutafuta bila mafanikio.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom