Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,664
too much HATE is LOVE..........
Hahahah.....nilijua tu!
too much HATE is LOVE..........
Lizzyklorokwini. . .
Sasa loya mbona wengine hua hawaishi kulalamika? "Ohhh why do you hate me so much?". . ."Why do you have to say that to me?!" wakati wakiambiwa wanapendwa wanachekelea tu.
Fair enough; halafu unaweza usimaanishe kama majibu ya ...I LOVE YOU TOO... yanavyokuwaga. LOLMie nitajibu..................."I HATE YOU TOO...................................."
Dah this is the most hurtful word kuliko maelezo hasa ukiambiwa na mtu unayempenda................ sio hilo tu kuna mengine kama,. . . .ever been told that?
Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na mzazi wako/mtoto wako/mwenzi wako/ndugu yako/rafiki yako utajisikiaje?
Aaa wanawake wengi tu wameisha niambia I hate you, lakini ajabu yenyewe....mimi naona wananipenda kuliko wale wanaosema I love you.
Lizzy. . . .ever been told that?
Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na mzazi wako/mtoto wako/mwenzi wako/ndugu yako/rafiki yako utajisikiaje?
klorokwini. . .
Sasa loya mbona wengine hua hawaishi kulalamika? "Ohhh why do you hate me so much?". . ."Why do you have to say that to me?!" wakati wakiambiwa wanapendwa wanachekelea tu.
Aaa wanawake wengi tu wameisha niambia I hate you, lakini ajabu yenyewe....mimi naona wananipenda kuliko wale wanaosema I love you.
Kwani wewe unafanya mambo yako au unaishi ili uambiwe I love you?
Mbona hiyo ni kawaida tu, waswahili husema "akunyimae kunde akupunguzia mashuzi". Anaekwambia I hate you kakupunguzia makubwa na mengi sana kuliko anaekwambia I love you.