I HATE you. . .

Dr Lizzy

Platinum Member
May 25, 2009
30,770
59,118
. . . .ever been told that?

Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na mzazi wako/mtoto wako/mwenzi wako/ndugu yako/rafiki yako utajisikiaje?
 
Hii kauli naipenda sana lakini sina bahati ya kuambiwa aisee!
Hii kauli ukiichukulia as a challenge, basi ni kauli bora kuambiwa duniani. I love u nyingi zinaambatana na ulaghai hazitoki moyoni lakini I hate u mara nyingi inakuwa real
 
Lazima nyongo itumbukie

ila kuna maneno ya kuchunga sana kusema ukiwa na hasira, yanaweza kugharimu pakubwa sana.
 
Lizzy, mtu akikuchukia kweli hana time na wewe. Hana time ya kukutafuta na kukwambia he/she hates you. Ukiona mtu anasema hivo lazima ana feelings kwako ila ana hasira kwa sababu moja au nyingine na ndio anaishia kusema hivo sababu anataka uumie kama anavo umia yeye.
Niliwahi kushuhudia mama wa kambo akiambiwa hivo na mtoto wa mume wake just because alimwambia akalale, it was late(the lil girl was like 4 or 5). Then huyo mama akalia sana. nikamshangaa, analia nini? Mbona hata mtoto wako mwenyewe anaweza kusema hivo? it doesn't mean she hates you, it only means she wants to hurt you at that time, maybe because it is easier for him/her to trigger pain than love from you.
 
Mara nyingi hiyo statement hua inasukumwa na emotions nyuma yake!most of the time mtu akiwa na hasira ndo aweza sema hivyo,but wengi hasira zikiisha huanza kujuta..
Sijawahi kuambiwa but nadhani it brings bad impression..
 
. . . .ever been told that?

Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na mzazi wako/mtoto wako/mwenzi wako/ndugu yako/rafiki yako utajisikiaje?
Itakuwa safi. Nibora umtu anaesema ukweli kuliko anaye jificha
 
Hii kauli naipenda sana lakini sina bahati ya kuambiwa aisee!
Hii kauli ukiichukulia as a challenge, basi ni kauli bora kuambiwa duniani. I love u nyingi zinaambatana na ulaghai hazitoki moyoni lakini I hate u mara nyingi inakuwa real

klorokwini. . .
Sasa loya mbona wengine hua hawaishi kulalamika? "Ohhh why do you hate me so much?". . ."Why do you have to say that to me?!" wakati wakiambiwa wanapendwa wanachekelea tu.
 
Last edited by a moderator:
Lazima nyongo itumbukie

ila kuna maneno ya kuchunga sana kusema ukiwa na hasira, yanaweza kugharimu pakubwa sana.
I hate you Kongosho. . .I wish had never sign up on JF or been a chit chatter because you are apart of it. NAKUCHUKIA!!

Nakukunda Konnie. . .
 
Last edited by a moderator:
RussianRoulette, Purple

Wakati mwingine mtu anaweza hata akadhani anamaanisha at the moment. Nakumbuka mimi niliwahi kufikiria kua namchukia bibi yangu siku moja sababu alinichapa. . .sikusema mtu akanisikia ila nilijinong'oneza all the way into the house "Nakuchukia. . .nakuchukia. ." sema baadae nikagundua ilikua ni hasira tu.

Pale mtu anapokua na ujasiri wa kukutamkia live kuna mawili. . .either anataka uumie au anakuchukia kweli.

Eiyer. . .
Kama nayo itakua ya ukweli sasa. . .inaweza ikawa rusha roho tu.
 
Lizzy, just like you said: ulidhani unamchukia bibi yako kumbe ilikua ni hasira tu. Na sababu ya kutamka ni kwamba unataka aumie. Mtu akimchukia mwenzie anaweza kuyasema pembeni (for some) au akakaa nayo tu. Ila kumwambia mtu live kua unamchukia mara nyingi it is just to make him feel the pinch.

Kama umewahi kumchukia mtu jaribu kujiuliza kama telling him unamchukia matters or not. Kwangu mimi naona ni kumpa thamani asio stahili kwa kumwambia face to face kua I hate him. when you hate somebody not only you don't have time to talk to him/her but not even to think about him and certainly not to care whether he knows or not.

Binafsi sijawahi ambiwa face to face kua nachukiwa but sometimes I can see that X and Y hate me, I just ignore them and life goes on. Hata Yesu who loves everybody hakupendwa na wote ndio nipendwe mimi?
 
Tafurahi sana.Ninacho jua popote pale siwezi kupendwa na wote hata kama naishi na watu vizuri kiasi gani.

Hakuna kitu nisicho penda kama unafiki,mtu anakusengenya pembeni kumanisha hakupendi then akikuona anajichekelesha sa mtu kama huyo akikwambia anakuchukia siutafanya part!
 
. . . .ever been told that?

Kama ambavyo watu hua wanatamani kuambiwa "NAKUPENDA wewe" na kufurahia wanapoambiwa hivyo. . .je ni vipi ikiwa kinyume cha hapo? Ukiambiwa "NAKUCHUKIA wewe" na mzazi wako/mtoto wako/mwenzi wako/ndugu yako/rafiki yako utajisikiaje?

Hate is just a strong word...I would never hate anyone...unless ur my number one enemy... Mtu ambae kila siku unamwambia unampenda, you share things together..you go to bed together wake up together alafu leo unasema u hate them...dont buy that!! unless umemfumania kitandani coz they only way i would HATE my partner is if i found them with someone else in bed...
 
Lizzy,mara nyingi mtu anaweza sema maneno hayo kama heat of the moment tu labda kupunguza machungu akiwa haamanisha maneno hayo.Ilitokea kwa mtoto wangu akiwa na miaka 6 ali-misbehave na nikamchapa,alilia na kwa hasira akasema dady i hate you and i am calling the police.Baada ya kunyamaza na kutulia alikuja akaniambia dady i love you na kunikumbatia.Kwa hiyo inawezekana na machungu ya wakati ule lakini pia kuna wengine huwa wanaamanisha hivyo.

Humjambo lakin Lizzy?
 
Back
Top Bottom