I hate my Boss! I hate you

Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!

grrrrr!!!!!!!!!!....................
U just keep on hating him,but soon and very soon you will hate your work too,how can you hate ur boss and love his works?"if there is life after employment,you should know that employment is the life after iddleness"
 
Wewe Vivian acha uvivu wa kisister Do.Mshukuru mungu kukupa boss anayekuanadaa kuchukua nafasi yake muda wowte?Mshukuru mungu kukupa boss anayekupa kazi?
Mshukuru mungu kukupa boss anayekusababishia wewe ujifunze kazi.
Pia acha mara moja swala la kuja hapa kuonyesha uvivu wako.
Yeye mpaka anakuwa boss wako amefanya kazi mpaka wamemtambua wewe anakuaanda unakuja huku kulalamika.

Uliza wenzio walio makazini na tabia za mambosi wao ujilinganishe na wewe wewe upo juu na anakuamini na ndo maana anakuachia kazi.

Ebu acha uvivu wako mara moja fanya kazi.

Labda kama unamchukia kwa kutongoza ila kama ni kazi kula mzigo ujue anakuuandaa bila wewe kujiujua.

Ok

Asante Chaku, umesema yaliyo moyoni mwangu.
Mimi nina bosi mdada ni mpakistan, elimu tuko sambamba na age ananizidi 5years, jamani ananibania hadi nikawa desprerate (xpin knows what i mean) sipewi challenging tasks, sipewi priority yoyote, uani ni aibu. kikweli naona ananiua careerwise, so most of the time nashinda JF na mwisho wa mwezi nakinga mkono, i feel this is not right and i wish to get a boss kama wa vivian. Kuna siku nikamtolea uvivu nikamwambia in writting i want another supervisor coz i think we incompatible and i cant progress under you. Hakuwaka wala nini, akasema tu thsnks for being honest with me and lets discuss it deeply and what we can do to improve. so far si mbaya sana. ila alikuwa kashanichosha.
 
Back
Top Bottom