I hate my Boss! I hate you

ehehehehehehhe...hebu twambie hizo Pm subject ilikuwa nini? i know haikuwa salamu tu!!!!na nani katuma nyingi zaidi..kuna mtu ataachwa hapa xspin upo???

Ngoja nikapate bia mbili za kutuliza mzuka kabla sijaamua zawadi mbaya ya kukupa. We Shishi nshaku PM mara ngapi na subject ilikuwa nini?
 
ehehehehehehhe...hebu twambie hizo Pm subject ilikuwa nini? i know haikuwa salamu tu!!!!na nani katuma nyingi zaidi..kuna mtu ataachwa hapa xspin upo???

Duh! sitaki kuvunja ndoa za watu! sijapata ya xspin. so don worry zion Daughter
 
Hey guys!.
I just feel that I hate my boss. I even Dont want to see him.
Namchukia sana.
Huyu jamaa hajui wajibu wake hata chembe! mzigo wote wa kazi umelala kwangu yeye muda wote yuko na yahoo massanger!!
yaaani!!!!!

grrrrr!!!!!!!!!!....................

Wewe Vivian acha uvivu wa kisister Do.Mshukuru mungu kukupa boss anayekuanadaa kuchukua nafasi yake muda wowte?Mshukuru mungu kukupa boss anayekupa kazi?
Mshukuru mungu kukupa boss anayekusababishia wewe ujifunze kazi.
Pia acha mara moja swala la kuja hapa kuonyesha uvivu wako.
Yeye mpaka anakuwa boss wako amefanya kazi mpaka wamemtambua wewe anakuaanda unakuja huku kulalamika.

Uliza wenzio walio makazini na tabia za mambosi wao ujilinganishe na wewe wewe upo juu na anakuamini na ndo maana anakuachia kazi.

Ebu acha uvivu wako mara moja fanya kazi.

Labda kama unamchukia kwa kutongoza ila kama ni kazi kula mzigo ujue anakuuandaa bila wewe kujiujua.

Ok
 
Vivian best wangu naona hamna tofauti sana na bosi wako wakti yeye yuko na (highlighted) na wewe uko JF
Ngoma droo dadangu
Wewe piga kazi acha kulalamika na kumtwisha mzigo bosi wetu ndio maisha ya kazi hayo kama vipi jaribu kuacha kazi na kukaa nyumbani.
 
Wewe Vivian acha uvivu wa kisister Do.Mshukuru mungu kukupa boss anayekuanadaa kuchukua nafasi yake muda wowte?Mshukuru mungu kukupa boss anayekupa kazi?
Mshukuru mungu kukupa boss anayekusababishia wewe ujifunze kazi.
Pia acha mara moja swala la kuja hapa kuonyesha uvivu wako.
Yeye mpaka anakuwa boss wako amefanya kazi mpaka wamemtambua wewe anakuaanda unakuja huku kulalamika.

Uliza wenzio walio makazini na tabia za mambosi wao ujilinganishe na wewe wewe upo juu na anakuamini na ndo maana anakuachia kazi.

Ebu acha uvivu wako mara moja fanya kazi.

Labda kama unamchukia kwa kutongoza ila kama ni kazi kula mzigo ujue anakuuandaa bila wewe kujiujua.

Ok

Hilo nalo neno!!
 
Huyo boss wako ni mdogo wa boss wangu na walisoma shule moja, kutoka chekechea hadi form four, Nina hakika hawajafika CHUO
 
Jamani dada Vivian ana genuine problem. Hebu msaidieni mawazo ya jinsi ya kucope na boss wake. Haijulikani kama huyu boss na yeye ni mwajiriwa au ni mwajiri (sole proprietor). Kama ni mwajiriwa na yeye namshauri awe mpole kwa sababu ya Mungu mengi kazi yake itaonekana na maboss wa boss wake yamkini yeye akaukwaa uboss(nafasi ya boss wake). La kama ni proprietor, amwombe Mungu ampe uvumilivu wa kuchukuliana na boss wake, even then Mungu halali anaona kazi zake.
 
Hilo nalo neno!!

sio kwamba neno hilo ila angalia ulichoweka kama signature kwako.

I call you Mzee with a lot of hesitation. I say so because the word Mzee is now used to address all sorts of fellows including fifteen year-old thieves so long as they have money.
 
Jamani dada Vivian ana genuine problem. Hebu msaidieni mawazo ya jinsi ya kucope na boss wake. Haijulikani kama huyu boss na yeye ni mwajiriwa au ni mwajiri (sole proprietor). Kama ni mwajiriwa na yeye namshauri awe mpole kwa sababu ya Mungu mengi kazi yake itaonekana na maboss wa boss wake yamkini yeye akaukwaa uboss(nafasi ya boss wake). La kama ni proprietor, amwombe Mungu ampe uvumilivu wa kuchukuliana na boss wake, even then Mungu halali anaona kazi zake.

Si hivyo kwa harakax2 Vivian ni mvivu sanaaaaaaaaa

huwezi kupewa kazi na boss wako hata kama yeye anacheza karata ukalamika ni jambo la kushukuru mungu au vinginevyo kuwe na kitu kingine alichokificha Vivian,

Kuna kitu tunakiita Succession Plan management.Vivian unalijua hili anakuandaa
 
I think it is in place labda yeye hajagundua
 
Si hivyo kwa harakax2 Vivian ni mvivu sanaaaaaaaaa

huwezi kupewa kazi na boss wako hata kama yeye anacheza karata ukalamika ni jambo la kushukuru mungu au vinginevyo kuwe na kitu kingine alichokificha Vivian,

Kuna kitu tunakiita Succession Plan management.Vivian unalijua hili anakuandaa

Thanks man! but you said something regarding my signature.. pardon me please
 
Ndio maana nimesema namtamani bosi wako.unachezea bahati wewe!Amka dada!

I realy dont think we should talk of me succeding someone who is 39years old!!! he is an epertriate with more than $9k a month. yaani kumuondoa hapo labda lije tinga tinga. huo mshahara hauendani kwanza na anachokifanya! lukily he is just working with an NGO!! ingekua private org angesharudishwa kwao1
 
Wewe Vivian acha uvivu wa kisister Do.Mshukuru mungu kukupa boss anayekuanadaa kuchukua nafasi yake muda wowte?Mshukuru mungu kukupa boss anayekupa kazi?
Mshukuru mungu kukupa boss anayekusababishia wewe ujifunze kazi.
Pia acha mara moja swala la kuja hapa kuonyesha uvivu wako.
Yeye mpaka anakuwa boss wako amefanya kazi mpaka wamemtambua wewe anakuaanda unakuja huku kulalamika.

Uliza wenzio walio makazini na tabia za mambosi wao ujilinganishe na wewe wewe upo juu na anakuamini na ndo maana anakuachia kazi.

Ebu acha uvivu wako mara moja fanya kazi.

Labda kama unamchukia kwa kutongoza ila kama ni kazi kula mzigo ujue anakuuandaa bila wewe kujiujua.

Ok

duh, shemeji umepotelea wapi??
maana nakuamninia kwa kurekebisha tabia, umepotea sana hapa jamvini.
vipi bebii hajambo?.
 
Back
Top Bottom