I hate Internet Explorer browser

Freelancer

JF-Expert Member
Sep 22, 2008
2,965
2,141
Katika browser ninayopenda nikiwa kama programmer wa web based systems ni firefox. Mi naona microsoft wangeachana na biashara ya browser maana browser zao ni kituko sana.

Mfano kuna technologies kama ajax. Yaani napata shida sana kutengeneza system inayo-run kwenye internet explorer. Sijui kwanini hawafuati industry standard ili kuwa na compatibility. Wanafanya maisha yanakuwa magumu. I hate that browser.

Hebu jaribu kutest ile hint ya google kama ina run fresh kwenye internet explorer. Mozilla yaani ajax ziko poa kabisa
 
Mkuu hata mimi naona hii browser haifai kwani mimi ilinipa matatizo nikazani pc yangu yani nikiweka kwenye internet inakuwa slw kama nini nikityp namaliza yenyewe inafata utadhani inanifanyia masahihisho!!nikaweka google chrome kwa sasa speed ni standard!!
 
Back
Top Bottom