Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,529
Rev. I don't see the problems with the speech by Ole; where is a problem please. Above there about those African American investors, what is wrong with them? Didn't they pay taxes or else?
Problem he is lying to justify the expenses footed by Mlalahoi like you to accomodate a touristic trip.
Si kweli kuwa African Americans hawajui kuhusu Tanzania. Tunafahamika tangu enzi za kina Pafmeca.
Ndiyo maana nikataja hao niliowataja na kuuliza inakuwaje Ole Naiko adanganye Watanzania kuwa Tanzania haifahamiki kwa "wanugu"?
Niambie ni investiment gani ambayo unasubiri kutoka kwa hawa watalii tuliowaleta bure? Hao unaoita Investors walikuwa ni watalii especially hao wa Sullivan group!