KadaMpinzani
JF-Expert Member
- Jan 31, 2007
- 3,715
- 86
hapa mie nafikiri tuwekane sawa juu ya nini kilichotokea, lakini tukianza hii tabia ya kuanza kususpect tu kila kitu bila ya kuwa na reasonable doubt haitoleta maana yoyote.... kama vipi pia tuwekane sawa kwamba tunapiga tu soga kwenye hii thread, maana hadi sasa hakuna kilichokuwa detailed zaidi ya hisia tu za watu mbaya zaidi hata hivyo hisia zenyewe wamezibaniabania na kutoziweka wazi, yaani tupo deadlocked !