I feel really lonely today!

Hivyo vyote ulivyoorodhesha hapo ni batili,..ni katika jitihada zane za kukampenia kupinga furaha ya wenzinu....anyway tupo na tutapambana nanyi mpaka kieleweke,....i.e namaanisha sio kweli kabisa

kwel mkuu, tena labda kwa waislam, ila kwa wakristo wa roman kwao bia ni ruhusa hata kwenye sherehe za kanisa bila zinakuwepo na waumin wanakunywa!.

I really feel lonely today, soon i will be on my way out of office but dont know what to do to cheer me up!

...hupo peke yako. Hali hii huwakumba wengi wenye matatizo majumbani mwao kiasi cha kujisikia nyumbani kama 'kituo cha polisi!'...ungeongeza overtime tu maazee, au taratibu za ofisi hazikuruhusu?

Matron......umeanza lini kuweka namba hapa?.......sidhani....mbona kama serial number ya kitu fulani?.......

Yaani
Sister P unajuaga kuniharibia...
Nimekuremba, na kukutumikia
Lakini wee wani kanyagia kabisa..

Akipiga atanipata tuuu...
Usimstue sana bana ...

Sijakuona halafu nimekusubiri kweli au you ain't lonely anymore?
Nimekuja gari ikaishiwa mafuta njiani and as you know jana vituo vingi vilikuwa vimegoma ikabidi nigeuke mlinzi. But i am stillon the way ntafika tu mamy usijali. Tena now i am even more lonelier

Matron......umeanza lini kuweka namba hapa?.......sidhani....mbona kama serial number ya kitu fulani?.......
Coz ameamua kumsaidia mtu mimi niliyekuwa lonely jamani Preta usinibanie basi

Huwa inatokea mara nyingi hali kama hiyo ila huna haja ya kutafuta kitu cha kuondoa huo upweke, huwa inaisha hiyo hali yenyewe tu

Hahahaa kulikuwa na nn kimekupata wakati huo Afro

Back
Top Bottom