I don't mean to be rude but....

ha ha ha,umenichekesha na neno "mchakato"

ni mchakato ule i see!una hatua kibao!sasa ndo nilikuwa nawaalert mapema kuwa nyie wekeni hesabu hapa,wekeni biology,wekeni civics,wekeni political science wekeni mpka economics siye tunawangoja tu kwenye mchakato ndo tutaanza kukumbushana moja baada ya lingine!mmoja mmoja kwa nafasi yake af kesho asubuhi na mapema mtaanza kuhadithiana kwenye thread itakayo kuwa na titles SORRY FOR BEING RUDE,TUMEKOMA!
 
Jambo la muhimu ni kwamba hamsahau,....
Lakini la muhimu zaidi ni kwamba mnasamehe haraka
na mna danganyika kirahisi,...so hamna tatizo.
 
haina shida,lakini nyie endeleeni tu asbuhi ntawakumbusha!yoooote mliyoandika hapa!lol!
 
si hamjituma!ndo mana sijawakumbushia

4926372666_a5eab7db38_z.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom