I Don't Allow Black People On My Bus!

ubaguzi wa aina yoyote ile haufai duniani.

Lakini siku zote najiuliza siku itafika kweli viongozi wetu afrika wajiheshimu na kutuheshimu sisi raia, hatuwezi kutarajia wengine kutuheshimu ikiwa sisi wenyewe hatujiheshimu.

Inatakiwa afrika tujijenge kisha serikali zetu ziwe za kutetea haki, tunaziona nchi nyingine zinavyo pandisha raia wa kwao anapo wahitaji.

Sasa afrika kwanza serikali zetu sisi wenyewe zinatunyayasa, itakuaje tutarijie watu wa nje wasitunyanyase.
 
Kwanza nani kasema wao ni "waisrael" hii ni mizungu tu,Waisrael wa kweli hawakuwa na tabia ya kibaguzi kama hiyo, hata Ibarahim a.s baba wa Israel hakuwa mbaguzi, aliowa mwanamke mweusi wa Kiafrika(Haggar) na kupata naye kizazi, na kwa sababu hii inaonyesha, Waisrael hawana damu ya kibaguzi, hii Mizungu iliyowekwa hapo M.E, kufanya ufisadi inaonyesha wazi rangi yao na tabia zao za kizungu za kibaguzi, zilizoshabikiwa na makundi ya kibaguzi ya Ku Klux Klan.
 
JEWISH religion is very strict on how onw can be a jew! It is a racist religion.
The media owned by Jewish interests is not reporting any bad things about Israel,,,lakini mamabo mengi inatokezea kule..waethiopia wana shida sana kule...racism conferenc ein durban was all about it..no wondr Hitler wanted a solution but he left some to show how they are!
 
Back
Top Bottom